Pangani FM

Kumuenzi Magufuli kwa kuandikisha Wanafunzi shule.

6 April 2021, 6:51 pm

Wananchi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kumuenzi Hayati Dkt Magufuli kwa kuweka Malengo ya kuongeza idadi ya Uandikishaji wa wanafunzi na kuongeza ufaulu kutokana na Sera ya Elimu Bila Malipo iliyoachwa na muasisi huyo.

Sikiliza hapa taarifa iliyoadaliwa na mwandishi wetu Maajab Ally