Pangani FM

Huku PSG vs Bayern Munich huku AC Milan vs Spurs: uchambuzi toka Pangani

14 February 2023, 9:41 pm

Na Erick Mallya

Barani ulaya hii leo wapenzi wa soka watakuwa wameelekeza hisia zao pale katika dimba la parc des Princes Ufaransa katika mchezo wa hatua ya 16 bora kati ya PSG na Bayern Munich mchezo uliosubiriwa kwa hamu kubwa tangu ulipotangazwa.

Na pale Italia katika Dimba la Sansiro AC Milan atakuwa nyumbani kuikaribisha Tottenham Hotspur F.C ya Uingereza.

Sikiliza hapa tathmini ya kueleka michezo hiyo kutoka kwa mchambuzi wetu wa soka Isodory Mgoroka katika mazungumzo aliyofanya na Mtangazaji Erick Mallya.