Pangani FM

Benzema ashinda Ballon d’Or kwa Sauti ya Pangani FM.

19 October 2022, 1:51 pm

 

Ulimwengu wa Soka hujumuika mara moja kwa kila mwaka tangu mwaka 1956 ili kumtangaza  mwanasoka bora wa mwaka husika.

Oktoba 15 mwaka huu jijini Paris pale katika Théâtre du Châtelet Mshambuliaji wa Klabu ya Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ufarsansa Karim Bnezema 34 alitangzwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka 2021/22 na kupewa tuzo ya Ballon d’Or.

 

Sikiliza hapa yote haya kwa Sauti ya Pangani FM katika makala fupi   aliyokuandalia mwanamichezo wetu Geofrey Leonard, Makala hii inasimuliwa na Mwanahabari wetu Mwanaidi Jummanne.

 

Endelea pia kusikiliza taarifa za michezo za ndani na nje ya Tanzania kupitia kipindi cha Jahazi la Michezo kinachoruka kila siku kuanzia saa mbili kamili Usiku.