Pangani FM

Vikundi vya Pangani kunufaika na Uchumi wa Bluu

14 May 2022, 5:43 pm

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje amesema wilaya imeanza kujiandaa kunufaika na sera ya uchumi wa blue kwa kuunda vikundi mbalimbali vinavyohusika na rasimimali za bahari.

Akizungumza na Pangani Bwana Mbenje amesema kuwa tayari kwa wilaya ya Pangani kuna vikundi vimeanza kupata uwezeshwaji kutoka kwa wadau katika kunenepesha kaa na ufugaji wa samaki.

.