Pangani FM

KONA YA KIJANJA

7 January 2021, 6:12 pm

LEO KATIKA KONA YA KIJANJA

Tunajadili juu ya vijana na matumizi ya Ugoro tukimulika uraibu (uteja) ,athari na suluhisho lake.

Yapi maoni yako katika hili? Toa maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii Facebook https://www.facebook.com/panganifm107.7 na Instagram https://www.instagram.com/panganifm107.7/

Ndani ya kipindi cha kona ya kijanja kuanzia saa 12 kamili Jioni utawasikia vijana waliowahi kutumia, wanaotumia na walioacha kutumia, utawasikia wauzaji wa Ugoro pamoja na wataalam wa Afya.

Ungana nasi pia kwa kutusikiliza mtandaoni kupitia https://radiotadio.co.tz/panganifm/-Picha kwa hisani ya Jamiiforums