Pangani FM

ANGALIZO la upepo mkali maeneo ya ukanda wa Pwani

10 May 2021, 7:14 pm

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwasaa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2.0limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwaniya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga,Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vyaMafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba) kwa siku ya kesho Jumanne tarehe 11/05/2021.UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI.KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZAKUTOKEA: WASTANI.Kwa taarifa zaidi kuhusu siku zijazo