Radio Tadio

Habari

28 September 2023, 4:42 pm

MCT yakiri kukinzana kwa sheria ya matumizi sahihi ya mitandao

Hali hiyo imekuwa ikikinzana¬† na Sheria ya haki ya kupata Taarifa¬† ambayo inatoa wigo kwa wananchi kuwa huru kupata taarifa ambazo hazijazuiliwa kisheria. Na Seleman Kodima. Pamoja na Serikali kuhimiza Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii, Baraza la Habari Tanzania…

22 September 2023, 2:53 pm

Mara waikubali ZUKU, waipokea kwa mikono miwili

Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora wake wa muonekano wa picha. Na Thomas Masalu Wananchi wa mkoa wa Mara wameoneshwa kuridhishwa na huduma ya king’amuzi cha ZUKU kutokana na ubora…

September 19, 2023, 2:37 pm

Serikali kujenga shule ya sekondari mpya Ushetu

SERIKALI Kuu imetoa Sh milioni 603.8 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kijiji cha Ngilimba kata ya Ulowa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Hatua hiyo itawanusuru wanafunzi kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 10 kuelekea…

September 16, 2023, 10:00 am

Waandishi wa habari Ileje Fm wanolewa umuhimu matumizi ya kidigitali

Na Denis Sinkonde Waandishi wa habari kutoka kituo Cha Ileje FM wamenolewa namna bora ya uandishi wa habari za mitandao kwa kuzingatia miiko ya kihabari ili kuchochea mabadiliko kwenye jamii. Wito huo umetolewa Septemba 16 ,2023 na mkufunzi kutoka mtandao…

15 September 2023, 1:32 pm

Ujumbe wa WWF kwa wadau wa Uhifadhi

Na Edward Lucas Wadau wametakiwa kuwa na Ushirikiano ili kufanikisha juhudi na mikakati yote ya uhifadhi wa Bonde la Mto Mara kwa ajili ya uhifadhi endelevu. Wito huo umetolewa na Mratibu wa Programu za Maji Baridi kutoka WWF Tanzania, Eng.…

September 15, 2023, 1:10 pm

Wananchi wasiogope Jeshi la Polisi-RPC Magomi

Kamanda Janeth Magomi amezungumzia elimu ambayo wamekuwa wakiitoa katika jamii ili kupunguza au kutokomeza matukio ya wizi, uvunjaji na uhalifu vinakwisha ambapo amesema polisi Kata wapo kwenye kila Kata ili kuzngumza na wananchi ili kuwafichua wahalifu na wamekuwa wakitoa elimu…

14 September 2023, 7:17 pm

Ziara ya Ridhiwani mkoani Mara yaondoka na waratibu wa TASAF

Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ameagiza kufutwa mara moja mfumo wa ulipaji wa fedha kwa wanufaika wa TASAF kwa njia ya mitandao ya simu. Na Thomas Masalu Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala…

14 September 2023, 8:02 am

Serengeti: Aliwa na Mamba wakati akivuka Mto Mara kwenda Shambani

Kufuatia tukio la mwananchi kukamatwa na kuliwa na mamba, Mkuu wa mkoa wa Mara awasisitiza wananchi kutofanya shughuli zao ndani ya hifadhi ya mto Mara Na Edward Lucas Mkuu wa mkoa wa Mara, Said Mtanda amewasisitiza wananchi kutofanya shughuli zao…