Recent posts
28 September 2026, 11:36
Watumishi Kilosa wafanyiwa jambo
Watumishi hao wameaswa kushirikiana pamoja katika masuala ya kiofisi. Na Epiphanus Danford Watumishi wa Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, wakiwemo Watendaji wa Kata na Vijiji, Waendesha Ofisi pamoja na Madereva, wamefanya…
23 September 2026, 15:01
Kilosa kuadhimisha wiki ya lishe kitaifa
Jamii imetakiwa kuimarisha afya kwa kula vyakula vya asili na kupunguza matumizi ya chumvi, sukari na mafuta, ili kujenga afya bora na kuzuia changamoto za kiafya zinazoweza kuchangiwa na ulaji usio sahihi. Afisa Lishe wa Wilaya ya Kilosa, Elisha Kingu,…
15 September 2026, 13:28
Soya imefungua fursa Kilosa
Soya ni zao la jamii ya mikunde lenye umuhimu mkubwa katika chakula na uchumi ambapo inaelezwa kuwa kwa kutumia mbegu bora, kanuni sahihi za kilimo na teknolojia za kisasa ili kuongeza uzalishaji na tija. Na Beatrice Majaliwa Wakulima wa zao…
14 September 2026, 12:32
Upungufu wa damu uzuilike kwa lishe-Mtaalam
Jamii imetakiwa kuifanya lishe bora kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, kwa kuchagua na kuandaa vyakula vyenye virutubisho muhimu, kwani afya bora huanza na chakula bora. Na Asha Madohola Wananchi wilayani Kilosa wametakiwa kuongeza matumizi ya vyakula vyenye madini…
14 September 2026, 11:54
Watumishi wa umma wapatiwa mafunzo
Watumishi hao wameaswa kuzingatia sheria kanuni na miongozo ya kiutumishi Na Ally Ibrahim Watumishi wa umma na viongozi mbalimbali ngazi ya Wilaya ya Kilosa wamepatiwa mafunzo ya Uongozi wa mguso juu ya kutambua masuala ya ukatili wa kijinsia na athari…
8 September 2026, 12:58
TRA yatoa semina kwa wafanyabiashara Kilosa
Picha ni Maafisa wa TRA Mkoa wa Morogoro na Wilaya ya Kilosa wakiwa pamoja kwenye ofisi ya TRA wilaya ya Kilosa. Picha na Epiphanus Danford Utekelezaji wa sheria ni msingi wa maendeleo kwa uchumi wa taifa letu Na Aloycia Mhina…
2 September 2026, 12:29
Maafisa maendeleo waaswa kuwa wabunifu
Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Morogoro Bwana Gibson Mwakoba (katikati) akizungumza na maafisa maendeleo ya jamii Wilaya ya Kilosa. Picha na Epiphanus Danford Maafisa hao waaswa kutumia fursa Na Aloycia Mhina Maafisa Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa…
28 August 2026, 13:43
Chanjo hazipunguzi nguvu za kiume
Jamii inahimizwa kupata taarifa sahihi kutoka kwa wataalamu wa afya na kuepuka imani potofu zinazoweza kuwafanya watu kukataa huduma za chanjo. Na Asha Madohola Mratibu wa Chanjo Wilaya ya Kilosa, Lakia Ngayungwa, amewataka wananchi kuacha imani potofu kuhusu chanjo na…
26 August 2026, 00:37
Polisi Kilosa yachangia unit 7 za damu
Polisi Jamii ni mfumo unaolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi na wananchi katika kuzuia na kupambana na uhalifu, kudumisha amani na usalama katika maeneo wanayoishi. Na Asha Madohola Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa limehitimisha kilele cha Wiki…
16 August 2026, 10:24
Zaidi ya 1,500 wamzika Kanda Bovu
Uzalendo na kutii sheria za nchi ni msingi wa kujenga jamii yenye amani, usalama na maendeleo ambapo pia husaidia kuzuia uhalifu, migogoro na vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani ya nchi. Na Asha Madohola Mkuu wa Kituo cha Polisi Kilosa, Afande Donati…