Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
27 November 2025, 17:54
Changamoto kubwa zinazokumba lishe kwa watoto na akina mama ni pamoja na ukosefu wa uelewa kuhusu lishe sahihi, umasikini, upatikanaji mdogo wa vyakula vya lishe, na mila au desturi zisizozingatia mahitaji ya lishe. Hali hii husababisha utapiamlo, upungufu wa damu,…
27 November 2025, 11:24
Kila mwaka kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 Dunia hufanya kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia lengo likiwa ni kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake na watoto ambao wamekua wahanga wakubwa wa kufanyiwa ukatili wa kijinsia.…
24 November 2025, 13:26
Habari za uongo zimekuwa kikwazo kikubwa katika maendeleo ya biashara, hasa katika jamii zinazotegemea taarifa sahihi kufanya maamuzi ya ununuzi na uuzaji. Na Aloycia Mhina Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Kilosa, Ndugu Joshua Chaluza Mbarikiwa, ametoa wito kwa wafanyabiashara na…
18 November 2025, 18:17
Hapa nchini katika baadhi ya shule bado kuna changamoto kubwa ya idadi ndogo ya wanafunzi wanaopata huduma ya chakula cha mchana mashuleni na inaelezwa tatizo hili linachangiwa na wazazi wengi kutokuwa na utayari wa kuchangia chakula hasa kwa watoto wasio…
24 October 2025, 19:52
Soko hilo la Kilabu cha Mtendeni linahudumia watu wengi kila siku, na bila choo, mazingira yameanza kuwa hatarishi kwa kusababisha uchafuzi unaoweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu. Na Beatrice Majaliwa Wafanyabiashara wa soko la kilabu cha Mtendeni lililopo katika…
24 October 2025, 18:16
Kuelekea uchaguzi mkuu, kumekuwa na ongezeko la habari za uongo na uzushi zinazosambazwa hasa kupitia mitandao ya kijamii. Habari hizi huwalenga wagombea, vyama vya siasa na taasisi mbalimbali kwa lengo la kupotosha umma, kuchafua sifa za watu au kuvuruga amani.…
8 October 2025, 07:39
Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Wilaya ya Kilosa umekamilika Septemba 30, 2025 kwa awamu ya tatu, ukiwanufaisha wanufaika 35,756 kutoka kaya 8,834. Na Aloycia Mhina Mpango wa kunusuru Kaya Maskini {TASAF} Wilayani Kilosa imekamilisha utekelezaji wa Mpango huo kwa…
7 October 2025, 06:59
Zoezi la kampeni limeendelea katika Jimbo la Kilosa ambapo wagombea kutoka vyama mbalimbali wanaendelea kunadi sera zao kwa wananchi, wakiahidi kuboresha huduma za jamii kama afya, elimu, maji na kutatua changamoto za wakulima na wafugaji, huku wakiomba ridhaa ya kuchaguliwa…
6 October 2025, 14:30
Saratani ya matiti inaweza kutibika iwapo itagundulika mapema. Njia za kuzuia ni pamoja na kujichunguza mara kwa mara, kupima kliniki, kuishi maisha yenye afya, na kuepuka vihatarishi kama vile unywaji wa pombe kupita kiasi na uvutaji wa sigara. Na Asha…
30 September 2025, 15:18
Waandishi wa habari na jamii kwa ujumla wanalo jukumu kubwa la kuhakikisha taarifa wanazopokea au kuzitumia, zinakuwa sahihi na zimethibitishwa ili kuepuka kuchochea taharuki, chuki au migawanyiko isiyo ya lazima. Na Asha Madohola Katika kipindi maalumu kilichorushwa na Redio Jamii…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu