Radio Jamii Kilosa

Recent posts

28 April 2023, 1:42 pm

Watoto waaswa kutoa taarifa wakifanyiwa ukatili wa ubakaji

Ili kukomesha vitendo vya kikatili vya ubakaji viongozi na wananchi wanatakiwa kuungana kwa pamoja ili kupinga vitendo hivyo kwa kuwa vinachangia kudhorotesha ndoto za watoto na wengine kupata mimba za utotoni. Watoto kwa bahati mbaya mkifanyiwa ukatili huo toeni taarifa…

21 April 2023, 10:42 am

Wakulima wa Kilosa wanashauriwa kupanda alizeti

Zao la alizeti ni zao ambalo ni la muda mfupi pia linastahimili mvua kidogo hivyo mkulima atanufaika kwenye mazao ambayo atajikwamua kiuchumi kwa haraka tofauti na mazao mengine. “Mvua zimerudi kwa kipindi kingine ambacho mkulima awali alipanda mazao kama mahindi…

16 April 2023, 6:28 pm

Mmomonyoko wa maadili wawaibua viongozi wa dini Kilosa

Wananchi waaswa kuwa na karibu na watoto ili kuwafundisha maadili mema ambayo yatawasaidia kujihusisha na matendo maovu ikiwemo ushoga ambao umeikumba dunia kwa sasa. “Dunia kwa sasa imegubikwa na ushoga vijana wengi wengi wanaingia kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja…

12 April 2023, 9:29 am

Maafsa ugani Kilosa sasa kuwafikia wakulima vijijini kwa haraka.

Serikali imewakabidhi pikipiki maafisa ugani wote wilayani Kilosa ili kuondokana na adha walioyokuwa wanaipata ya usafiri na kushindwa kuwafikia wakulima wengi kwenye mashamba yao na kutatua changamoto. “Tunaishukuru serikali kwa kuiona kwa jicho la pekee wizara yetu ya kilimo kwa…

10 April 2023, 1:37 pm

Waliotajwa kwenye ripoti ya CAG waachie ngazi

Waliotajwa katika ripoti ya CAG watakiwa kuachia ngazi za madaraka walizonazo kutokana na ubadhirifu walioufanya kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. “Serikali imepata hasara kubwa kutokana na watumishi wenye nia ovu na kama Rais alishasema wapishe, kama chama cha mapinduzi…

8 April 2023, 10:40 pm

Mashamba ya malisho yaanza majaribio Kilosa

Serikali ikiwa katika kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa imeamua kuanzisha majaribio ya mashamba ya malisho ili kunusuru mifugo kuchungiwa kwenye mashamba ya mazao. “Tabia ya wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima imekua ni mazoea kwa kuwa…

6 April 2023, 4:16 pm

Wananchi walia na baa la njaa Kilosa

Wananchi wa kitongoji cha Karadasi kilichopo kijiji cha Mambegwa kata ya Msowero wilayani Kilosa wameiomba serikali kuwaletea chakula cha msaada ambacho watakinunua kwa gharama nafuu. “Hali ya ukame imekua tishio la baa la njaa kijijini hapa mazao yote yamekauka na…

MISSION AND VISSION

Tembelea ukurasa wetu