Radio Jamii Kilosa

Recent posts

24 June 2025, 23:36

Mfumo wa ruzuku wapunguza gharama za kilimo Kilosa

Wakulima wanahimizwa kujisajili kwenye mfumo wa ruzuku ya mbolea na mbegu ili kunufaika na pembejeo bora kwa bei nafuu. Mfumo huo unalenga kuwainua wakulima kiuchumi kupitia kilimo cha kisasa chenye tija. Na Beatrice Majaliwa Wakulima mbalimbali kutoka wilaya ya Kilosa…

3 June 2025, 18:58

Wananchi watakiwa kuongeza unywaji wa maziwa kwa afya bora

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mtu mzima anapaswa kunywa angalau lita 200 za maziwa kwa mwaka. Hata hivyo, takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa wastani wa unywaji wa maziwa kwa Mtanzania ni lita 67.2 kwa mwaka, kiwango…

26 May 2025, 23:40

Wananchi Kilosa wanufaika na haki bila malipo

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni mpango wa kitaifa unaolenga kuwapatia wananchi elimu na huduma za kisheria bila malipo, hasa kwa wale wasioweza kumudu gharama za mawakili. Na Beatrice Majaliwa Wananchi wa Wilaya ya Kilosa wametakiwa kujitokeza…

25 May 2025, 16:05

Elimu ya lishe yazidi kutoa matokeo chanya kata ya Berega

Serikali inaendelea kuwekeza katika elimu ya lishe, na kuongeza upatikanaji wa vyakula vyenye virutubisho muhimu kwa mama na mtoto na lengo ni kuhakikisha jamii inapata lishe bora na afya njema kwa maendeleo endelevu ya taifa. Na Asha Madohola Kata ya…

14 May 2025, 21:40

Watendaji wasisitizwa kuzingatia sheria katika uboreshaji wa daftari

Wananchi wamepatiwa wasaa wa kushiriki kuhakiki na kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapigakura nchini ili waweze kutumia haki ya msingi ya kikatiba ya kupiga kura kwa kumchagua kiongozi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Na…

12 May 2025, 14:09

Karafuu kuwa mkombozi wa chakula shuleni

Suala la lishe nchini limekuwa ni tatizo kubwa ambalo serikali imejizatiti ili kuondoa kadhia hiyo ambayo imekuwa ikisababisha wananchi kupata matatizo ya kiafya kutokana na kukithiri kwa lishe duni . Na Asha Madohola Katika kuhakikisha wanafunzi wote wanapata chakula cha…

6 December 2024, 20:16

Wilaya ya Kilosa imeanza mchakato wa bajeti ya kuboresha lishe

Wito umetolewa kwa serikali kutoa fedha kwa wakati na kwa kiwango kinachohitajika, huku jamii ikihamasishwa kuchukua jukumu kubwa katika kuhakikisha kila kaya inazingatia lishe bora kwa ajili ya afya na ustawi wa watoto. Na. Asha Rashid Madohola Wilaya ya Kilosa…

30 November 2024, 00:21

Viongozi wa serikali za mitaa Kilosa waapishwa, watakiwa kuwa waadilifu

Wilayani Kilosa, viongozi wapya wa serikali za mitaa waliopatikana kupitia uchaguzi uliofanyika Novemba 27 na 28 mwaka huu wameapishwa rasmi tarehe 29 Novemba 2024 . Viongozi hao, wakiwemo wenyeviti wa vijiji, wenyeviti wa vitongoji, wajumbe wa viti maalum, na wajumbe…

20 November 2024, 23:17

Uboreshaji wa lishe kwa watoto wilayani Kilosa wapewa kipaumbele

Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa inaendelea kutekeleza afua mbalimbali za Lishe kwa kuzingatia viashiria vya Mkataba wa Lishe kwa kushirikiana na Watendaji wa Kata na Vijiji, Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii na watoa Huduma za Afya vituoni, kwa lengo…

MISSION AND VISSION

Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu