19 March 2026, 15:33

Kilosa wahimiza lishe kwa watoto

Watoto walio chini ya miaka mitano wanahitaji chakula chenye lishe bora ili kusaidia ukuaji wa mwili na maendeleo ya akili ambayo husaidia kuzuia udumavu, magonjwa yanayotokana na upungufu wa virutubisho. Na Asha Madohola Wananchi wilayani Kilosa wametakiwa kuhakikisha watoto walio…

On air
Play internet radio

Recent posts

8 September 2026, 12:58

TRA yatoa semina kwa wafanyabiashara Kilosa

Picha ni Maafisa wa TRA Mkoa wa Morogoro na Wilaya ya Kilosa wakiwa pamoja kwenye ofisi ya TRA wilaya ya Kilosa. Picha na Epiphanus Danford Utekelezaji wa sheria ni msingi wa maendeleo kwa uchumi wa taifa letu Na Aloycia Mhina…

2 September 2026, 12:29

Maafisa maendeleo waaswa kuwa wabunifu

Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Morogoro Bwana Gibson Mwakoba (katikati) akizungumza na maafisa maendeleo ya jamii Wilaya ya Kilosa. Picha na Epiphanus Danford Maafisa hao waaswa kutumia fursa Na Aloycia Mhina Maafisa Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa…

28 August 2026, 13:43

Chanjo hazipunguzi nguvu za kiume

Jamii inahimizwa kupata taarifa sahihi kutoka kwa wataalamu wa afya na kuepuka imani potofu zinazoweza kuwafanya watu kukataa huduma za chanjo. Na Asha Madohola Mratibu wa Chanjo Wilaya ya Kilosa, Lakia Ngayungwa, amewataka wananchi kuacha imani potofu kuhusu chanjo na…

26 August 2026, 00:37

Polisi Kilosa yachangia unit 7 za damu

Polisi Jamii ni mfumo unaolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi na wananchi katika kuzuia na kupambana na uhalifu, kudumisha amani na usalama katika maeneo wanayoishi. Na Asha Madohola Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilosa limehitimisha kilele cha Wiki…

16 August 2026, 10:24

Zaidi ya 1,500 wamzika Kanda Bovu

Uzalendo na kutii sheria za nchi ni msingi wa kujenga jamii yenye amani, usalama na maendeleo ambapo pia husaidia kuzuia uhalifu, migogoro na vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani ya nchi. Na Asha Madohola Mkuu wa Kituo cha Polisi Kilosa, Afande Donati…

5 August 2026, 14:08

Unyonyeshaji pekee hulinda afya ya mtoto

Unyonyeshaji wa maziwa ya mama ni njia bora ya kumpatia mtoto lishe kamili, kinga dhidi ya magonjwa na msingi mzuri wa ukuaji katika miezi sita ya mwanzo wa ukuaji wake. Na Asha Madohola Wananchi Wilayani Kilosa wamehimizwa kuendelea kuzingatia unyonyeshaji…

3 August 2026, 17:04

Maafisa tabibu 62 wahitimu Kilosa

Chuo cha Maafisa Tabibu Kilosa kimefanya Mahafali ya 23 ambapo kimeendelea kudumisha ufaulu wa asilimia 100 kwa miaka mitano mfululizo licha ya kukabiliwa na changamoto za miundombinu na uhaba wa vifaa vya TEHAMA. Na Asha Madohola Wahitimu wa Chuo cha…

1 August 2026, 10:45

Kilosa yazindua wiki ya unyonyeshaji duniani

Wiki ya Unyonyeshaji Duniani huadhimishwa kila mwaka kuanzia Agosti 1 hadi 7, ikiwa na lengo la kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa unyonyeshaji wa maziwa ya mama katika kuhakikisha watoto wanapata afya bora, lishe sahihi na ukuaji unaofaa. Na Asha Madohola…

26 July 2026, 15:33

TAFIDA Kilosa yasaka vipaji vya waigizaji

Sanaa ni chanzo halali cha ajira na maendeleo kwa vijana na jamii kwa ujumla na kupitia uigizaji, muziki, uchoraji, uchekeshaji na fani nyingine za sanaa, vipaji vinaweza kugeuzwa kuwa kazi zinazozalisha kipato na kujenga maisha bora. Na Asha Madohola Vijana…

22 July 2026, 11:48

Vijana Kilosa wahimizwa kupinga rushwa

Kupambana na rushwa kunahitaji ushirikiano wa wananchi wote kwa kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na kutoa taarifa kwa mamlaka husika pindi vitendo vya rushwa vinapobainika. Na Asha Madohola Jamii, hususan vijana wa Wilaya ya Kilosa, wamehimizwa kujiepusha na vitendo vya rushwa na…

MISSION AND VISSION

Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu