Radio Jamii Kilosa

Recent posts

17 November 2023, 11:55 am

Prof Kabudi akabidhi mradi wa kukabarati barabara Kilosa

Serikali imeendelea kuwafikia wananchi waishio vijijini  kwa kuwasogozea nyanja za ufunguzi wa maendeleo hususani katika ukarabati wa barabara kupitia wakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA) ambapo zinakwenda kuwaunganisha wananchi pamoja na kuwainua kiuchumi kwenye kilimo ambayo watayasafirisha hadi…

23 October 2023, 11:02 am

USAID yanufaisha vijana Kilosa kilimo cha mbogamboga, matunda

Shirika la Marekani la Maendeleo la Kimataifa (USAID), kupitia mradi wa Kilimo Tija wameanza kuboresha teknolojia za kisasa za kilimo nchini Tanzania sambamba na kuweka  mifumo ya kilimo pamoja na masoko ya mazao ya mbogamboga na matunda kwa kutoa elimu…

9 September 2023, 2:19 pm

Mapato ya Halmashauri ya Kilosa yaongezeka na kufikia asilimia 98.9

Katika kipindi cha miaka miwili Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa imeweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kujenga shule za Awali, Msingi na Sekondari mpya ili kupunguza mrundikano wa wanafunzi. “Tumefanikiwa kuwafikia wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kufika shuleni katika miradi…

5 September 2023, 8:44 am

Mlimani Boma watengeneza barabara ya zaidi ya mita 400 kupitia Tasaf

Kukamilika kwa barabara hiyo kuleta neema kwa wananchi wa Mserereko ambao walikuwa wakitembea umbali mrefu ili kupata usafiri wa kuwapeleka kwenye mahitaji yao ya kijamii kama huduma za afya ambapo ikitokea mgonjwa au amefariki wanambeba mikononi kurudisha nyumbani. Na Asha…

7 July 2023, 1:41 pm

Wafugaji Kilosa washauriwa kufuga kibiashara

Serikali imelenga kutoa elimu ya shughuli za kimaendeleo katika sekta ya ufugaji kwa vijana hususan wazawa ambao baada ya mafunzo hayo watakuwa mabalozi wazuri wa kusambaza elimu ya ufugaji wa kisasa katika ngazi ya familia na jamii nzima kwa ujumla…

6 July 2023, 7:35 am

Bilioni 7.9 kukamilisha ujenzi wa daraja Berega

Kukamilika kwa daraja la Berega kutawaondolea adha ya muda mrefu ya upatikanaji wa usafiri waliyokuwa wanakabiliana nayo wananchi wa kata ya Berega ambayo ilichangia wananchi kupoteza maisha wakivuka kwenye mto wakati wa masika ili kufuata mahitaji muhimu ya kijamii. Viongozi…

MISSION AND VISSION

Tembelea ukurasa wetu