2 April 2026, 1:50 pm

Jamii yaonya unyanyapaa dhidi ya warahibu wa dawa za kulevya

Jamii imeaswa kuacha kuwanyanyapa warahibu wa dawa za kulevya kwani kufanya hivyo hupelekea waathirika hao kushindwa kufikia huduma za matibabu. Na Mariam Mallya Afisa Kutoka mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevvya kanda ya kaskazini Brenda Mbati amesema…

On air
Play internet radio

Recent posts

26 September 2026, 11:52 pm

Vijana wanne wanusurika kuuawa kwa tuhuma za wizi Arusha

Vijana wanne wamenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kujaribu kufanya wizi wa studio katika eneo la Soko Barazani, Kijiji cha Naurei, Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha. Na Gasper Sambweti Tukio hilo limetokea hivi karibuni baada…

14 September 2026, 11:52 am

Wavunja sheria waonywa Arusha

Meya wa jiji la Arusha Maxmilian Iraqwe amewataka viongozi katika halmashauri ya Arusha kufanya kazi kwa kufuata sheria na kuepuka kusababisha sintofahamu katika jiji hilo. Na Gasper Sambweti Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo amesema…

1 September 2026, 2:25 pm

Wananchi Oloirien walia na serikali wizi miundombinu ya maji

Wananchi Katika Mtaa wa RC na Mbeshere kata ya Oloirien jijini Arusha waililia serikali kutokana vitendo vya wizi wa miundombinu ya maji, ikiwemo mita za maji, get valve pamoja na koki za mabomba unaoendelea katika maeneo yao. Na Gasper Sambweti…

8 August 2026, 6:46 pm

Tantrade yawahimiza usajili wa bidhaa nchini

Wakulima, wazalishaji na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujisajili na kupata nembo ya TANTRADE ili kuongeza utambulisho wa bidhaa zao na kuzifanya zitambulike zaidi katika masoko ya kimataifa. Na Gasper Sambweti Afisa mwandamizi wa biashara wa TANTRADE, Bw. Thomas Peter Mallya amesema…

30 July 2026, 3:07 pm

APSP yakazia weledi na uwajibikaji

Wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini wamehimizwa kuimarisha usimamizi wa vihatarishi katika mchakato wa ununuzi wa umma kwa kubaini mapema sababu zinazoweza kusababisha hasara au ukiukwaji wa sheria. Na Mariam Mallya Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wataalamu…

30 July 2026, 11:25 am

Kilomita 20 za mateso za wasukuma Olmesera kujenga shule

Wananchi wa kitongoji cha Olmesera kijiji cha Manyire kata ya Mlangarini mkoani Arusha ,wameamua kuchangishana shilingi elfu 70 kwa kila mwanakitongoji ili kuweza kununua eneo ambalo watajenga shule ya msingi na sekondari kwa ajili ya watoto wa kitongoji hicho. Na…

29 July 2026, 9:36 pm

Sawa aibua kero ya ubovu wa barabara Arumeru

Katibu na Itikadi na uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arumeru, Nicholas Sawa, ameibua hoja kuhusu ubovu wa barabara pamoja na hali ya mitambo ya ujenzi inayotumiwa na halmashauri ya wlaya ya Arusha (Arusha DC), akisema changamoto hizo zimeendelea…

28 July 2026, 12:18 am

Simanzi yatanda Arusha vifo vya mapacha watano

Watoto mapacha watano waliozaliwa njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha (Mount Meru),waliozaliwa usiku wa kuamkia Julai 26,2026 wamefariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu.​ Na Mariam Mallya Watoto hao walizaliwa wakiwa na umri wa miezi sita…

27 June 2026, 10:51 am

Pombe yatajwa chanzo cha ukatili, vifo kwenye jamii

Takribani kifo kimoja kati ya vifo vitatu nchini kimehusishwa na matumizi ya pombe, huku wataalamu wakisisitiza haja ya serikali na taasisi husika kutoa takwimu sahihi kuhusu athari za pombe na dawa za kulevya ili kulinda jamii dhidi ya madhara yake.…

27 June 2026, 1:18 am

Mapambano dhidi ya dawa za kulevya yapamba moto Arusha

Jamii imetakiwa kuendelea kuungana katika mapambano dhidi ya matumizi na usambazaji wa dawa za kulevya, huku elimu ikitajwa kuwa silaha muhimu katika kuokoa maisha ya vijana. Na Mariam Mallya Kauli hiyo imetolewa katika na Afisa Kutoka mamlaka ya kudhibiti na…

Savvy FM


Savvy FM Proposal Summary

  1. Executive Summary
    Savvy FM is a privately owned radio station broadcasting from Arusha, Tanzania, with reach across Manyara,Kilimanjaro, parts of Dodoma, and Tanga.
    It primarily focuses on empowering women and youth through informative and inspiring content.
  2. Background & Profile
    Founded by three professional women from legal, marketing, and journalism backgrounds. Established in 2022 with a commercial broadcasting license from TCRA. Offers 24/7 programming tailored to local community needs. Operates with innovation, diversity, and inclusion at its core.
  3. Mission & Vision
    Mission: To empower and inspire women and youth through transformative and educational content.
    Vision: To become a financially strong, growth-oriented media platform that uplifts communities and drives change.
  4. Reach & Coverage
    Estimated listener base: 4 million+
    Covers: Arusha, Manyara, Kilimanjaro, and parts of Dodoma and Tanga.
    Expanding digital reach to global audiences via online streaming.
  5. Target Audience
    Broad age group: 14 to 70 years
    Includes youth, women, farmers, SMEs, and the general public.
    Special attention to rural listeners and marginalized groups.
  6. Programming & Content
    Includes segments like:
  • Anga La Asubuhi (Morning Drive)
  • Savvy Spoti (Sports)
  • Sauti Yako (Interactive listener shows)
    Savvy FM Proposal Summary
  • Savvy Masala (Entertainment)
    Also features educational programs, community shows, and live interviews.

Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania