Savvy FM
Savvy FM
30 April 2026, 7:59 pm
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani mwaka 2026 yaendelea kuibua mijadala muhimu kuhusu mustakabali wa sekta ya habari nchini, huku wadau wakijadili kwa kina namna ya kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia ya kidigitali. Na Mariam MallyaAkizungumza…
2 April 2026, 1:50 pm
Jamii imeaswa kuacha kuwanyanyapa warahibu wa dawa za kulevya kwani kufanya hivyo hupelekea waathirika hao kushindwa kufikia huduma za matibabu. Na Mariam Mallya Afisa Kutoka mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevvya kanda ya kaskazini Brenda Mbati amesema…
17 March 2026, 1:30 pm
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, ndugu Seleman Msumi, amesema malezi bora ni kielelezo muhimu katika kufanikisha maendeleo endelevu katika jamii. Na Mariam Mallya Msumi ameeleza hayo jijini Arusha kwenye kongamano lililowakutanisha makundi ya malezi na walezi kutoka…
16 March 2026, 2:57 pm
Wadau wa masuala ya malezi na makuzi ya watoto wamesema ushiriki mdogo wa wanaume katika malezi ya watoto bado ni changamoto kubwa katika jamii, hali inayoweza kuathiri ukuaji na ustawi wa watoto. Na Mariam Mallya Mtaalam wa masuala ya ulinzi…
3 March 2026, 11:13 pm
Wananchi wa jiji la Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yatakayofanyika kimkoa siku ya Machi 05/2026 katika viwanja vya Ngarenaro mkoani Arusha. Na Mariam Mallya Akizungumza katika Studio za Savvy FM Mratibu wa jinsia…
3 March 2026, 2:09 pm
Mkutano wa kimataifa wa mafunzo ya usawa na jinsia, ulemavu na ujumuishwaji wa kijamii umezikutanisha nchi zaidi ya 23 duniani lengo likiwa ni kujadili namna yakuendelea kuhudumia jamii kwa kuzingatia usawa wa kijinsia kwa makundi yenye mahitaji maalumu. Na Mariam…
27 February 2026, 3:51 pm
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (DC ),Bwn Sulemani Msumi, amesema halmashauri inaendelea kuweka mazingira rafiki kwa watumishi wake, ikiwemo walimu, hususan katika kata za pembezoni kwa kuwajengea nyumba za kuishi. Na Mariam Mallya Amesema kuwa katika mwaka…
26 February 2026, 10:56 pm
Wasimamizi na watendaji wa taasisi zilizopo katika sekta ya viwanda na biashara wametakiwa kuondoa urasimu na kuwa wawezeshaji wa sekta binafsi, kuchochea shughuli za uzalishaji, masoko ya kimkakati na uchumi kwa maendeleo endelevu ya kisekta kwa Taifa. Na Mariam Mallya…
24 February 2026, 11:16 pm
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, amesema jiji la Arusha linaendelea kunufaika na fedha za maendeleo zinazotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuboresha miundombinu na huduma za kijamii. Na Mariam Mallya Akizungumza mapema leo…
24 February 2026, 9:40 am
Uzinduzi huo umefanyika wakati wa kampeni ya NG’ARISHA JIJI inayolenga kuhamasisha usafi wa mazingira na kujenga utamaduni wa utunzaji wa Mji. Na Mariam Mallya Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, hivi karibuni amezindua rasmi vikundi vya vijana vya ukamataji…
Savvy FM Proposal Summary
Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania