Recent posts
26 September 2026, 11:52 pm
Vijana wanne wanusurika kuuawa kwa tuhuma za wizi Arusha
Vijana wanne wamenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kujaribu kufanya wizi wa studio katika eneo la Soko Barazani, Kijiji cha Naurei, Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha. Na Gasper Sambweti Tukio hilo limetokea hivi karibuni baada…
14 September 2026, 11:52 am
Wavunja sheria waonywa Arusha
Meya wa jiji la Arusha Maxmilian Iraqwe amewataka viongozi katika halmashauri ya Arusha kufanya kazi kwa kufuata sheria na kuepuka kusababisha sintofahamu katika jiji hilo. Na Gasper Sambweti Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo amesema…
1 September 2026, 2:25 pm
Wananchi Oloirien walia na serikali wizi miundombinu ya maji
Wananchi Katika Mtaa wa RC na Mbeshere kata ya Oloirien jijini Arusha waililia serikali kutokana vitendo vya wizi wa miundombinu ya maji, ikiwemo mita za maji, get valve pamoja na koki za mabomba unaoendelea katika maeneo yao. Na Gasper Sambweti…
8 August 2026, 6:46 pm
Tantrade yawahimiza usajili wa bidhaa nchini
Wakulima, wazalishaji na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujisajili na kupata nembo ya TANTRADE ili kuongeza utambulisho wa bidhaa zao na kuzifanya zitambulike zaidi katika masoko ya kimataifa. Na Gasper Sambweti Afisa mwandamizi wa biashara wa TANTRADE, Bw. Thomas Peter Mallya amesema…
30 July 2026, 3:07 pm
APSP yakazia weledi na uwajibikaji
Wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini wamehimizwa kuimarisha usimamizi wa vihatarishi katika mchakato wa ununuzi wa umma kwa kubaini mapema sababu zinazoweza kusababisha hasara au ukiukwaji wa sheria. Na Mariam Mallya Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wataalamu…
30 July 2026, 11:25 am
Kilomita 20 za mateso za wasukuma Olmesera kujenga shule
Wananchi wa kitongoji cha Olmesera kijiji cha Manyire kata ya Mlangarini mkoani Arusha ,wameamua kuchangishana shilingi elfu 70 kwa kila mwanakitongoji ili kuweza kununua eneo ambalo watajenga shule ya msingi na sekondari kwa ajili ya watoto wa kitongoji hicho. Na…
29 July 2026, 9:36 pm
Sawa aibua kero ya ubovu wa barabara Arumeru
Katibu na Itikadi na uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arumeru, Nicholas Sawa, ameibua hoja kuhusu ubovu wa barabara pamoja na hali ya mitambo ya ujenzi inayotumiwa na halmashauri ya wlaya ya Arusha (Arusha DC), akisema changamoto hizo zimeendelea…
28 July 2026, 12:18 am
Simanzi yatanda Arusha vifo vya mapacha watano
Watoto mapacha watano waliozaliwa njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha (Mount Meru),waliozaliwa usiku wa kuamkia Julai 26,2026 wamefariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu. Na Mariam Mallya Watoto hao walizaliwa wakiwa na umri wa miezi sita…
27 June 2026, 10:51 am
Pombe yatajwa chanzo cha ukatili, vifo kwenye jamii
Takribani kifo kimoja kati ya vifo vitatu nchini kimehusishwa na matumizi ya pombe, huku wataalamu wakisisitiza haja ya serikali na taasisi husika kutoa takwimu sahihi kuhusu athari za pombe na dawa za kulevya ili kulinda jamii dhidi ya madhara yake.…
27 June 2026, 1:18 am
Mapambano dhidi ya dawa za kulevya yapamba moto Arusha
Jamii imetakiwa kuendelea kuungana katika mapambano dhidi ya matumizi na usambazaji wa dawa za kulevya, huku elimu ikitajwa kuwa silaha muhimu katika kuokoa maisha ya vijana. Na Mariam Mallya Kauli hiyo imetolewa katika na Afisa Kutoka mamlaka ya kudhibiti na…