Sengerema FM

98.9 MHz
SENGEREMA MWANZA
0767403729
radiosengerema@gmail.com

Offline
Play internet radio

Recent posts

July 16, 2022, 3:55 pm

Waziri Makamba atoa ahadi hii kwa wananchi Sengerema

Waziri wa Nishati Nchini Mh,January Makamba  amewahidi  wananchi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  kutatua tatizo sugu la kukatika kwa umeme ili kuwaondolea  adha hiyo inayowakabili  kwa muda mrefu . Waziri  Makamba amesema hayo wakati akizungumza  na wananachi  katika mkutano wa hadhara…

March 22, 2022, 4:14 pm

Waziri wa ardhi azindua baraza la Ardhi Sengerema.

Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi  Mh, Agelina Mabula  amewataka  watumishi  wa mabaraza  ya ardhi na nyumba ya Wilaya  nchini   kutimiza wajibu wao kwa weledi kwa kuzingatia  sheria ,kanuni ,taratibu  na miongozo iliyopo  na itakayotolewa  ili kuboresha utoaji…

January 14, 2022, 10:52 am

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA DAWA, VIFAA TIBA KUTOKA NCHINI MISRI.

Serikali kupitia Wizara ya Afya imepokea msaada wa dawa pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh: Mil. 864 vitavyosaidia katika kupambana dhidi ya magonjwa mbalimbali kutoka katika Serikali ya Misri. Msaada huo umetolewa katika  uwanja wa ndege wa kimataifa…

January 6, 2022, 10:42 pm

Sengerema yakabidhi madarasa 129 ya uviko 19.

Jumla ya vyumba vya madarasa mia  moja na ishirini na tisa  vilivyojengwa kwa fedha za uviko 19 halimashauri ya wilaya ya Sengerema vimekamilika na kukabidhiwa kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza tayali kusubilia wanafunzi kuanza masomo yao january17 mwaka huu.…

October 21, 2021, 1:20 pm

Tanzania kuzidi kuwawezesha wanawake kimaendeleo.

Tanzania imeazimia kuendelea kuwawezesha wanawake katika nyanja mbalimbali ikiwemo katika Uongozi na uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kupitia Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee…

October 16, 2021, 1:26 pm

TARI-Ukiligulu waja na mbegu bora kukabiliana na magonjwa ya zao la mhogo.

Katika kupambana na magonjwa yanayolikabili zao la mhogo, Wakulima wa zao hilo kanda ya ziwa wameshauriwa kutumia mbegu bora inayozalishwa na taasisi ya utafiti TARI -UKILIGULU MWANZA, ambayo inastahimili magonjwa. Akizungumza na waandishi wa Habari Mtafiti upande wa mazao ya…

June 2, 2021, 3:26 pm

Madalizi metch ya Simba sc vs Ruvushooting yakamilika Ccm kirumba.

Maandalizi ya mechi kati ya ruvushooting na Simba sc yakamilika katika uwanja wa ccm kirumba jijini Mwanza. Akizungumza na wandishi wa Habari katibu wa Shirikisho la mpira wa miguu mkoa wa mwanza (MZFA) Bwn.Leonard Malongo amesema madalizi ya metchi hiyo…

May 29, 2021, 6:39 pm

Mbunge Tabasam akutana na kuzungumza na Wafanyabiashara Sengerema.

Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao amekutana na kufanya mazungumzo na wafanya biashara wa jimboni kwake kuhusiana na changamoto wanazokabiliana nazo. Baada kikoa hicho Tabasam ameahidi kushirikiana na wafanya biashara hao kutatua kero zinazowakabiri, huku akiiomba serikali kumuondoa…