Sengerema FM
Sengerema FM
6 June 2026, 12:20 pm
Kutokana na kukithili kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto nchini, Afisa Tarafa ya Katunguru wilayani Sengerema Kibasa Samwel Masangwa ameitaka jamii kushirikiana na serikali ili kukomesha vitendo hivyo. Na, Emmanuel Twimanye Watoto Wilayani Sengerema mkoani Mwanza wameiomba serikali kuchukua…
27 May 2026, 5:04 pm
Kufuatia kukithili kwa baadhi ya wanawake kuwafanyia vitendo vya ukatili waume zao, Jeshi la polisi wilayani Sengerema lawataka wananchi kutoa ushirikiano ili kukomesha vitendo hivyo. Na,Emmanuel Twimanye Kijana Simon Kashangele (24), mkazi wa Kitongoji cha Senta B, Kata ya Nyamizeze…
23 May 2026, 7:52 pm
Kutokana na kuwepo kwa malalamiko kwa baadhi ya wananchi juu ya huduma za afya kutokizi vigezo,watumishi wa zahanati ya Busulwagili Wilayani Sengerema wamepongezwa kwa huduma bora kwa wananchi. Na, Emmanuel Twimanye Watumishi wa Zahanati ya Busulwangili kata ya Tabaruka Wilayani…
23 May 2026, 3:29 pm
Kutokana na ongezeko la vijana kujihusisha na vitendo vya kihalifu ikiwemo wizi,Vijana wilayani Sengerema wametakiwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato halali ili kujikimu kimaisha. Na,Emmanuel Twimanye Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Yeneza Gulai mkazi wa Mtaa wa Misheni wilayani…
15 May 2026, 8:01 pm
Katika kukomesha tabia za baadhi ya watoto kujihusisha na vitendo vya wizi, wazazi na walezi Wilayani Sengerema wametakiwa kutoa malezi bora ili kuepuka kujihusisha na vitendo hivyo vinavyoweza kuhatarisha maisha yao. Na, Emmanuel Twimanye Watoto wawili wenye umri wa miaka…
12 May 2026, 7:08 pm
Baada ya kuibuka kwa tabai za baadhi ya wataalamu wa tiba asili kuwatapeli wateja wao Mwenyekiti wa Chama cha Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Sengerema atoa onyo dhidi yao wanaojipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Na,Emmanuel Twimanye Waganga na…
12 May 2026, 6:18 pm
Kufuatia kukithili kwa watu kujichukulia sheria mkono Jeshila Polisi Mwanza lawakamata watu tisa kwa mauaji. Na, Emmanuel Twimanye Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu tisa wakiwemo Mabaunsa wa baa ya Rasvegas kwa tuhuma za mauwaji ya mtu mmoja aliyefahamika…
8 May 2026, 6:23 pm
Katika kukabiliana na migogoro ya ardhi Sengerema wananchi zaidi ya 1000 wakabidhiwa hati miliki za kimila Na,Emmanuel Twimanye Zaidi ya wananchi elfu moja katika Kijiji cha Ilekanilo, Kata ya Kasungamile, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamekabidhiwa hati miliki za kimila,…
6 May 2026, 9:27 am
Katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani May mosi 2026 afsa tarafa wa Nyanchenche wilayani Sengerema ameibuka mfanya kazi hodari kutoka ofsi ya mkuu wa wilaya ya Sengerema, ambapo wananchi wa eneo hilo wamempongeza kwa uchapa kazi wake. Na;Said Mahera…
5 May 2026, 7:17 pm
Kufuatia kuwepo na malalamiko ya baadhi ya wamama kukimbia miji yao kama njia ya kukwepa kulipa madeni ya mikopo kutoka taasisi za kukopesha maarufu kausha damu, sasa washauriwa kuacha kukopa kwenye taasisi nyingi ili kuepuka fedheha ya kuacha watoto na…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa