Recent posts
8 September 2026, 11:37 am
OCD awataka waendesha bajaji kuwa waadilifu na wazalendo
Jeshi la polisi wilayani Sengerema limezungumza na vijana wanaojishughulisha na usafirishaji wa abiria hasa bajaji na kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa nchi yao. Na Elisha Magege Wito huo umetolewa na mkuu wa jeshi la polisi Sengerema, SSP. Kurwa Misogalya wakati akizungumza…
7 September 2026, 3:59 pm
UVCCM yaipongeza idara ya maendeleo ya jamii Sengerema
Idara ya maendeleo ya jamii inajukumu la kutoa elimu kwa jamii hususa ni vijana kuhusiana na fursa za mikopo zinazotolewa na serkali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Na;Elisha Magege Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi CCM,…
6 August 2026, 10:02 am
Polisi yawataka wananchi kutoa taarifa za uhalifu
Jeshi la polisi wilaya ya Sengerema limewataka wananchi kutoa taarifa za matukio ya uvunjifu wa amani hasa matukio ya ukatili dhidi ya watoto katika jamii. Na,Elisha Magege Jeshi la polisi wilaya ya Sengerema limeendelea kutoa elimu juu ya ukatili wa…
31 July 2026, 7:02 pm
Polisi, wananchi Sengerema wafanya usafi Jumamosi ya mwisho wa mwezi
Jeshi la polisi Nchini linazidi kujisogeza kwa wananchi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kwa kushirikiana nao ili kuongeza ushirikiano baina ya wananchi na jeshi hilo. Na,P eter Marlesa Jeshi la Polisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza limesema kampeni mbalimbali za…
31 July 2026, 4:49 pm
Insp. Mtwangi ahamasisha wananchi kuchangia damu Sengerema
Kutokana na kuwepo kwa vifo vinavyotokana na ukosefu wa damu salama katika Bank ya Damu hapa nchi wananchi wametakiwa kujitolea kwa hiari kuchangia ili kuokoa maisha ya wenye uhitaji. Na,Elisha Magege Jamii imehimizwa kujitokeza kuchangia Damu ili kusaidia kuokoa maisha…
29 July 2026, 8:14 pm
Wananchi watakiwa kuimalisha Ulinzi shirikishi
Kufuatia uwepo wa matukio ya uvunjifu wa amani katika jamii wananchi wametakiwa kushirikiana na jeshi la polisi katika wilaya ya Sengerema. Na,Elisha Magege Wananchi wametakiwa kushirikiana na jeshi la polisi kutoa taarifa za uharifu na waharifu ili kuinua shughuli za…
16 July 2026, 10:41 pm
Kampuni ya Sotta Mining yakabidhi madawati Sengerema
Ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati kwa Shule za Misingi katika Halmashauri ya Sengerema, Mgodi wa Dhahabu wa Sotta Mining Corporation Ltd umekabidhi madawati zaidi ya 900. Na Said Mahera Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema imepokea madawati 977…
16 June 2026, 7:04 pm
Mama ataka binti yake achukuliwe hatua wizi wa mahindi
Baada ya baadhi ya watoto kuwa na tabia za wizi na udokozi wa vitu vya nyumabani, mama mmoja ameiomba serikali kumchukulia hatua za kisheria binti yake kwa wizi wa mahindi ili iwe fundisho kwa wengine. Na, Emmanuel Twimanye Binti aliyefahamika…
13 June 2026, 4:43 pm
Watatu wakamatwa kwa kutapeli wananchi Sengerema
Vishoka wawatapeli wananchi wakidai kuwaunganishia umeme maeneo ya vijijini Sengerema. Na Emmanuel Twimanye Watu watatu wamekamatwa katika kijiji cha Busulwangili, Kata ya Tabaruka, wilayani Sengerema mkoani Mwanza, kwa tuhuma za kuwatapeli fedha wananchi kwa lengo la kuwaunganishia umeme majumbani. Akizungumzia…
9 June 2026, 7:49 pm
Serikali yaombwa kufuatilia wanaovaa nguo zisizo na staha
Wazazi na tasisi za kidini waiomba serikali kuingilia kati suala la mmomonyoko wa maadili kwa vijana katika jamii. Na Emmanuel Twimanye Serikali imeombwa kuingilia kati suala la baadhi ya mabinti wanaovaa mavazi yasiyo na staha kwa kuweka sheria na miongozo…