Recent posts
29 July 2026, 6:58 pm
Madiwani Kasulu wasisitizwa kusimamia miradi ya maendeleo
Kufuatia kuanza kwa mwaka mpya wa fedha, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu amewataka watumishi na viongozi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uwajibikaji na ushirikiano ili kuhakikisha vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Sita vinatekelezwa kwa ufanisi. Na; Ramadhan Zaidy…
28 July 2026, 11:50 am
Serikali Kasulu yasisitiza leseni za kufungisha ndoa
Kutokana na changamoto ya migogoro ya ndoa na ndoa nyingi kuvunjika,viongozi wa Madhehebu mbaalimbali wilayani Kasulu wameombwa kusimamia kwa ukamilifu zoezi la ufungishaji wa ndoa, wakitakiwa kuwa na leseni au vibali vya ufungishaji wa ndoa. Na; Paulina Majaliwa Serikali imewataka…
23 July 2026, 10:45 am
Sirro aipongeza Kasulu kwa Hati safi ya CAG
Mkuu wa Mkoa wa Kigma Balozi Saimon Sirro ameitaka Halmashauri ya Mji Kasulu kuendelea kuimarisha usimamizi wa fedha za umma, kuyafanyia kazi mapendekezo ya CAG kwa wakati na kudumisha uwajibikaji kwa wananchi. Na; Irene Charles Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,…
20 July 2026, 5:23 pm
Wananchi Kasulu wahimizwa kula mlo kamili
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Kasulu, Dkt. Nangi William amewasisitiza wananchu kutumi lishe bora na mlo kamili pamoja na kujiepusha na matumizi ya pombe na sigara ili kulinnda afya zao. Na; Emily Adam Wananchi wa Halmashauri ya Mji Kasulu…
2 July 2026, 1:13 pm
Kasulu Mji yatoa shilingi milioni 265 kwa vikundi 24
Prof. Ndalichako Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini awasisitiza wanufaika wa mikopo ya Asilimia 10 kurejesha kwa wakati mikopohiyo ili iwanufaishe na waengine. Na; Emily Adam Zaidi ya Milioni 261 zimatolewa kwa kwa vikundi 24 vya wanawake, vijana na Walemavu…
27 June 2026, 5:14 pm
Serikali Uvinza yatoa maagizo mazito kuhusu maendeleo
Wananchi wilayani Uvinza wawasilisha kero zao kwa Mkuu wa Wilaya Mh. Dinah Mathamani ambapo tayali baadhi ya kero zimetolewa ufafanuzi. Na; Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mh. Dinah Mathamani, amefanya ziara katika Kata ya Uvinza kwa lengo la…
21 June 2026, 2:14 pm
Redcross Kasulu yafanya uchaguzi wa viongozi
Wananchi wilayani Kasulu wahimizwa kujiunga katika Chama Cha Msalaba Mwekundu kikitajwa kuwa kina mchango mkubwa katika jamii. Na; Emily Adam Chama cha Msalaba Mwekundu Redcross Tawi la Mjini na Mrusi, Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma kimefanya uchaguzi wa viongozi…
9 June 2026, 11:52 am
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na majukumu yake
Sekretarieti ya maadili imeeleza jinzi inavyofanya kazi kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku ikieleza majukumu iliyonayo katika usimamizi wa maadili ya viongozi wa Umma. Na: Sharifat Shinji Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeanzishwa…
6 June 2026, 6:51 pm
Ushirikiano wa wanandoa katika upangaji wa bajeti za familia
Kutokana na takwimu na machapisho mbalimbali kuhusu umhimu wa kupanga bajeti kwa wanandoa na familia kwa ujumla Buha FM Radio imeangazia umhimu wa wanandoa kushirikiana katika upangaji wa bajeti. Imeandaliwa na Timu nzima ya Makala ya kipindi chetu leo Kwa…
6 June 2026, 5:05 pm
TAWEN kuwawezesha kiuchumi wakazi wa Kasulu
Shirika la TAWEN limesema limejipanga kuwawezesha wananwake wa Halmashauri ya Mji Kasulu kiuchumi na kuachana na vikundi vya vikomba ambavyo vimekuwa changamoto kwa baadhi familia. Na; Irene Cherles Katibu Tawala Halmashauri Mji Kasulu Bi.Theresia Mtewele amesema elimu ya ujasiriamali ndio…