Buha FM Radio
Buha FM Radio
12 October 2026, 1:29 pm
Mkuu wa dawati la jinsia na ulinzi wa watoto Wilayani Kasulu Inspector Maimuna Omar ameeleza kuwa utoaji wa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsi katika jamii bado ni changamoto kutokana na wananchi kuhofia usalama wao baada ya kutoa taarifa…
9 October 2026, 1:10 pm
Baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka mitano na miezi mitatu aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isac Mwakisu amewaaga rasmi viongozi na wananchi akiwashukuru kwa ushirikiano waliompatika kwa kipindi chote cha utumishi wake ndani ya Wilaya hiyo. Na;…
5 October 2026, 12:09 pm
Kutokana na Serikali kutambua umhimu wa elimu kwa watoto, baadhi ya wadau wa elimu wamekuwa wakitaja kuwa migogoro ya ndoa na familia imekuwa ikichangia kushuka kwa ufaulu wa wanafunzi na baadhi kushindwa kuendelea na masomo kabisa. Na; Sharifat Shinji Mkurugenzi…
1 October 2026, 1:29 pm
Halmashauri za Wilaya ya Kasulu zimejiandaa kukabiliana na athari za mvua za El Niño zilizotangazwa na Mmlaka ya Hali ya Hewa Tanzania TMA kuwa zitaanza kunyesha hivi karibuni. Na; Sharifat Shinji Wilaya ya Kasulu kupitia Halmashauri zake imejiandaa kukabiliana na…
11 September 2026, 9:44 am
Mradi wa maji wa miji 28 Kasulu wamkosha Mwang’onda
29 July 2026, 6:58 pm
Kufuatia kuanza kwa mwaka mpya wa fedha, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu amewataka watumishi na viongozi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uwajibikaji na ushirikiano ili kuhakikisha vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Sita vinatekelezwa kwa ufanisi. Na; Ramadhan Zaidy…
28 July 2026, 11:50 am
Kutokana na changamoto ya migogoro ya ndoa na ndoa nyingi kuvunjika,viongozi wa Madhehebu mbaalimbali wilayani Kasulu wameombwa kusimamia kwa ukamilifu zoezi la ufungishaji wa ndoa, wakitakiwa kuwa na leseni au vibali vya ufungishaji wa ndoa. Na; Paulina Majaliwa Serikali imewataka…
23 July 2026, 10:45 am
Mkuu wa Mkoa wa Kigma Balozi Saimon Sirro ameitaka Halmashauri ya Mji Kasulu kuendelea kuimarisha usimamizi wa fedha za umma, kuyafanyia kazi mapendekezo ya CAG kwa wakati na kudumisha uwajibikaji kwa wananchi. Na; Irene Charles Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,…
20 July 2026, 5:23 pm
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Kasulu, Dkt. Nangi William amewasisitiza wananchu kutumi lishe bora na mlo kamili pamoja na kujiepusha na matumizi ya pombe na sigara ili kulinnda afya zao. Na; Emily Adam Wananchi wa Halmashauri ya Mji Kasulu…
2 July 2026, 1:13 pm
Prof. Ndalichako Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini awasisitiza wanufaika wa mikopo ya Asilimia 10 kurejesha kwa wakati mikopohiyo ili iwanufaishe na waengine. Na; Emily Adam Zaidi ya Milioni 261 zimatolewa kwa kwa vikundi 24 vya wanawake, vijana na Walemavu…
The Radio will be known as BUHA FM RADIO, it is devoted to serve whole Kigoma region and neighbouring area such as Katavi, Tabora, Kagera and Burundi. Our primary target will be the Refugee host area and refugee camps in Kasulu, Kibondo and Kakonko. As the community engagement process, on August 21, 2018, the Organization for Human Investment and Development (OHIDE Tanzania) and RTTS Centre (The refugee-based communication centre) in Nyarugusu Refugee Camp signed a Memorandum of Understanding to collaborate in producing local content based on refugee affairs. The agreement is based on making sure that the refugees voice is included and are well informed, educated, and entertained through Radio broadcasting. Either the goal of the project is to make sure there is a good neighbourhood between the Refugees and the host community and also support the UN agencies and partners to serve both communities in Kasulu, Kibondo, and Kakonko.
Vision
The VISION of Buha FM Radio is to see the community of Kigoma Region particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role in their development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication to achieve sustainable rural development.
Objectives of the Buha news and Buha Radio
The following are our objectives; –
· Enhanced access to the information within refugees and host community through the well-established Radio station
· Promoted implementation of the United Nations Sustainable Development Goals
· Reduced tension among refugees and host communities
· Reduced poverty among women and youth
· Increased cross border business integrations within the Kigoma region and neighbouring countries
· Promoted protection to girls, children, and elders
Our Activities
To engage communities in content production
· To involve Refugees and refugee-based journalists in intercultural programs and current affairs news
· Give space/cooperate with the Government, UN agencies, Development partners to debate and discuss solutions on challenges being faced by both communities
· Produce news and programs that ensuring the existence of a harmonious relationship between the refugees and the horst community to foster improved corporation, awareness, and protection issues.
· Produce information stories on peace and security news from refugee country of origin to promote voluntary repatriation (This will be part of the Go and See visit and Come and Tell method for refugees and host local village leaders)
· Promote agribusiness and environmental conservation for poverty eradication
· Promote wildlife conservation
· Promote the preservation of the indigenous culture of the Kigoma region and historical sites