Buha FM Radio
Buha FM Radio
27 January 2026, 2:15 am
Wananchi waeleza furaha ya huduma za madaktari katika hospitali ya Rufaa Kabanga iliyopo wilayani Kasulu na kupongeza uongozi kwa kuendelea kuwaborishea huduma za afya. Na; Sharifat Shinji Hospitali ya Rufaa Kabanga iliyopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imewaomba wananchi kujitokeza…
27 January 2026, 1:26 am
Uongozi wa hospitali ya Rufaa Kabanga imejidhatiti kuboresha miundombinu na mazingira ya kutolea huduma za afya pamoja na kutowa huduma bora kwa wannchi hii ni kutokana na ufadhili unaoendelea kufadhili katika hospitali hiyo. Na; Sharifat Shinji. Taasisi za Tweega Medica,…
22 January 2026, 11:30 am
Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu imefanikiwa kukusanya zaidi ya Bilion 20.8 sawa na asilimia 54 kwa bajeti ya mwaka wa Fedha 2025/2026 huku ikijipanga kukusanya Bilion 44.7 mwaka wa fedha 2o26/2027. Na Sharifat Shinji Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani…
16 January 2026, 7:04 pm
Shughuli za binadamu ikiwemo kilimo, uchomaji wa mkaa, ukataji miti kwa ajili ya nishati kuni pamoja na naongezeko la makazi ya watu katika maeneo ya Hifadhi ya Taifa Gombe mkoani Kigoma, zimetajwa kusababisha mabadiliko ya Tabianchi katika eneo hilo hali…
8 January 2026, 5:02 pm
Mvua za masika zatajwa kusababisha mzorotesha biashara ya viatu katika maeneo mbalimbali ikiwemo genge la Kwashayo katika Halmashauri ya Mji Kasulu. Na; Emily Adam Wafanyabiashara wa Viatu malufu Ndala na Yeboyebo katika genge la Kwashayo Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani…
5 January 2026, 10:29 pm
Katika msimu huu wa kilimo baadhi ya wakulia wa kata ya Karela wamebainisha changamoto ambazo wamekuwa wakizipitia katika kila msimu wa kilimo katika maeneo hayo. Na; Emily Adam Wakulima wa kata ya Karela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma…
5 January 2026, 7:06 pm
Mbunge wa Kasulu vijijini Mhe. Edibily Kazala aneahidi kutatua changamoto zote ilizopo katika kijiji cha Kagerankanda na Jimbo la Kasulu vijijini kwa ujumla. Na; Mwandishi wetu Wananchi wa kijiji cha Kagerankanda katika Jimbo la kasulu Vijijini Mkoani Kigoma wamemuomba Mbunge…
24 December 2025, 7:18 pm
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kasulu, ASP Partrick Damasi amesema wakati wa sikukuu wazazi wanapaswa kuwalinda watoto wao ili wasipate changamoto ya kupotea. Na; Sharifat Shinji Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani…
21 December 2025, 7:25 pm
Watumishi wa hospitali ya rufaa Kabanga wamekutana kwa pamoja kusherehekea shelehe ya funga mwaka ilizoambatana na burudani mbalimbali na utunukiwaji wa vyeti kwa baadhi ya watumishi waliofanya vizuri katika idara zao kwa mwaka 20225. Na; Sharifat Shinji Hospitali ya rufaa…
20 December 2025, 4:26 pm
Hospitali ya rufaa Kabanga imehitimisha wiki ya afya katika viwanja vya kiganamo katika Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma kikiwa ni kampeni ya kurudisha kwa jamii na kuwagusa zaidi ya wananchi 700 kwa kutoa huduma bure. Na; Sharifat Shinji Mganga…
The Radio will be known as BUHA FM RADIO, it is devoted to serve whole Kigoma region and neighbouring area such as Katavi, Tabora, Kagera and Burundi. Our primary target will be the Refugee host area and refugee camps in Kasulu, Kibondo and Kakonko. As the community engagement process, on August 21, 2018, the Organization for Human Investment and Development (OHIDE Tanzania) and RTTS Centre (The refugee-based communication centre) in Nyarugusu Refugee Camp signed a Memorandum of Understanding to collaborate in producing local content based on refugee affairs. The agreement is based on making sure that the refugees voice is included and are well informed, educated, and entertained through Radio broadcasting. Either the goal of the project is to make sure there is a good neighbourhood between the Refugees and the host community and also support the UN agencies and partners to serve both communities in Kasulu, Kibondo, and Kakonko.
Vision
The VISION of Buha FM Radio is to see the community of Kigoma Region particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role in their development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication to achieve sustainable rural development.
Objectives of the Buha news and Buha Radio
The following are our objectives; –
· Enhanced access to the information within refugees and host community through the well-established Radio station
· Promoted implementation of the United Nations Sustainable Development Goals
· Reduced tension among refugees and host communities
· Reduced poverty among women and youth
· Increased cross border business integrations within the Kigoma region and neighbouring countries
· Promoted protection to girls, children, and elders
Our Activities
To engage communities in content production
· To involve Refugees and refugee-based journalists in intercultural programs and current affairs news
· Give space/cooperate with the Government, UN agencies, Development partners to debate and discuss solutions on challenges being faced by both communities
· Produce news and programs that ensuring the existence of a harmonious relationship between the refugees and the horst community to foster improved corporation, awareness, and protection issues.
· Produce information stories on peace and security news from refugee country of origin to promote voluntary repatriation (This will be part of the Go and See visit and Come and Tell method for refugees and host local village leaders)
· Promote agribusiness and environmental conservation for poverty eradication
· Promote wildlife conservation
· Promote the preservation of the indigenous culture of the Kigoma region and historical sites