Recent posts
2 July 2026, 1:13 pm
Kasulu Mji yatoa shilingi milioni 265 kwa vikundi 24
Prof. Ndalichako Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini awasisitiza wanufaika wa mikopo ya Asilimia 10 kurejesha kwa wakati mikopohiyo ili iwanufaishe na waengine. Na; Emily Adam Zaidi ya Milioni 261 zimatolewa kwa kwa vikundi 24 vya wanawake, vijana na Walemavu…
27 June 2026, 5:14 pm
Serikali Uvinza yatoa maagizo mazito kuhusu maendeleo
Wananchi wilayani Uvinza wawasilisha kero zao kwa Mkuu wa Wilaya Mh. Dinah Mathamani ambapo tayali baadhi ya kero zimetolewa ufafanuzi. Na; Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mh. Dinah Mathamani, amefanya ziara katika Kata ya Uvinza kwa lengo la…
21 June 2026, 2:14 pm
Redcross Kasulu yafanya uchaguzi wa viongozi
Wananchi wilayani Kasulu wahimizwa kujiunga katika Chama Cha Msalaba Mwekundu kikitajwa kuwa kina mchango mkubwa katika jamii. Na; Emily Adam Chama cha Msalaba Mwekundu Redcross Tawi la Mjini na Mrusi, Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma kimefanya uchaguzi wa viongozi…
9 June 2026, 11:52 am
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na majukumu yake
Sekretarieti ya maadili imeeleza jinzi inavyofanya kazi kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku ikieleza majukumu iliyonayo katika usimamizi wa maadili ya viongozi wa Umma. Na: Sharifat Shinji Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeanzishwa…
6 June 2026, 6:51 pm
Ushirikiano wa wanandoa katika upangaji wa bajeti za familia
Kutokana na takwimu na machapisho mbalimbali kuhusu umhimu wa kupanga bajeti kwa wanandoa na familia kwa ujumla Buha FM Radio imeangazia umhimu wa wanandoa kushirikiana katika upangaji wa bajeti. Imeandaliwa na Timu nzima ya Makala ya kipindi chetu leo Kwa…
6 June 2026, 5:05 pm
TAWEN kuwawezesha kiuchumi wakazi wa Kasulu
Shirika la TAWEN limesema limejipanga kuwawezesha wananwake wa Halmashauri ya Mji Kasulu kiuchumi na kuachana na vikundi vya vikomba ambavyo vimekuwa changamoto kwa baadhi familia. Na; Irene Cherles Katibu Tawala Halmashauri Mji Kasulu Bi.Theresia Mtewele amesema elimu ya ujasiriamali ndio…
4 June 2026, 11:48 am
Kasulu washauriwa kutumia mamlaka kusuluhisha migogoro ya ardhi
Mkaguzi msaidizi wa polisi ( A/Insp.) Willy Lupa ambaye ni Polisi kata ya Nyamunyusi amesema wananchi wanaokumbana na migogoro ya aridhi kusuluhisha katika mamalaka husika kabla ya kufikishana polisi. Na; Paulina Majaliwa Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kusuluhisha migogoro…
12 May 2026, 9:41 am
Angilikana Kasulu yazindua mradi wa magari ya abiria
Waumini wa Kanisa la Angilikana Dayosisi ya Western Tanganyika wilayani Kasulu waombwa kuendelea kujitolea katika uchangiiaji wa maendeleo ya kanisa hilo. Na; Emily Adam Kanisa la Angilikana Dayosisi ya Western Tanganyika wilayani Kasulu mkoani Kigoma limefanya uzinduzi wa mradi wa…
10 May 2026, 5:16 pm
Klabu ya mazoezi yazinduliwa hospitali ya rufaa Kabanga
Jamii yasisitizwa kufanya mazoezi ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukizwa. Na; Sharifat Shinji Hospitali ya Rufaa Kabanga imezindua klabu ya mazoezi (Jogging Club) ikiwa ni juhudi za kuunga mkono serikali kupunguza wimbi la magonjwa yasiyoambukizwa ambapo kila Jumamos klabu hiyo itafanya…
6 May 2026, 8:38 pm
Maafisa usafirishaji walia na bei ya Mafuta Kasulu
Baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei mpya za mafuta wafanya biashara ya Usafirishaji waeleza ongezeko hilo la bei. Na; Helbeth Barayata Maafisa usafirishaji alimarufu Bodaboda katika Halimashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma…