Buha FM Radio

Jinsi wanawake wanavyochangia kukuza uchumi wa familia

13 October 2026, 10:17 am

Baadhi ya wananwake wakiwa sokoni wakiendelea na biashara mbalimbali kwa lengo la kuongeza kipata na uchumi wa familia. Picha kwa muujibu wa Akili Unde (Chatgpt).

Kimeendaliwa na Sharifat Shinji na Kusimuliwa na Ramadhan Zaidy

Kwa muujibu wa shirika la chakula duniani FAO inakadiriwa kuwa kuziba mapengo ya kijinsia katika uzalishaji wa kilimo na malipo ya ajira kunaweza kuongeza uchumi wa dunia kwa karibu dola trilioni moja za Marekani. Hii ni faida inayokadiriwa kwa uchumi wa dunia, si fedha ambazo familia moja hupata.

Kupitia makala ya kipindi chetu leo cha Buha Fm Radio kinaangazia nafasi ya mwanamke katika kuongeza uchumi wa familia na jamii kwa ujumla.