Recent posts
January 8, 2026, 5:02 pm
Mvua zatajwa kuzorotesha biashara ya ndala, yeboyebo Kwashayo
Mvua za masika zatajwa kusababisha mzorotesha biashara ya viatu katika maeneo mbalimbali ikiwemo genge la Kwashayo katika Halmashauri ya Mji Kasulu. Na; Emily Adam Wafanyabiashara wa Viatu malufu Ndala na Yeboyebo katika genge la Kwashayo Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani…
January 5, 2026, 10:29 pm
Wakulima Karela washauriwa kutumia mbinu bora za kilimo
Katika msimu huu wa kilimo baadhi ya wakulia wa kata ya Karela wamebainisha changamoto ambazo wamekuwa wakizipitia katika kila msimu wa kilimo katika maeneo hayo. Na; Emily Adam Wakulima wa kata ya Karela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma…
January 5, 2026, 7:06 pm
Wananchi Kagerankanda wamlilia mbunge migogoro ya ardhi
Mbunge wa Kasulu vijijini Mhe. Edibily Kazala aneahidi kutatua changamoto zote ilizopo katika kijiji cha Kagerankanda na Jimbo la Kasulu vijijini kwa ujumla. Na; Mwandishi wetu Wananchi wa kijiji cha Kagerankanda katika Jimbo la kasulu Vijijini Mkoani Kigoma wamemuomba Mbunge…
December 24, 2025, 7:18 pm
Polisi Kasulu waapa kudhibiti ajali siku za sikukuu
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kasulu, ASP Partrick Damasi amesema wakati wa sikukuu wazazi wanapaswa kuwalinda watoto wao ili wasipate changamoto ya kupotea. Na; Sharifat Shinji Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani…
December 21, 2025, 7:25 pm
Kabanga yawatunuku vyeti vya utumishi bora wafanya kazi
Watumishi wa hospitali ya rufaa Kabanga wamekutana kwa pamoja kusherehekea shelehe ya funga mwaka ilizoambatana na burudani mbalimbali na utunukiwaji wa vyeti kwa baadhi ya watumishi waliofanya vizuri katika idara zao kwa mwaka 20225. Na; Sharifat Shinji Hospitali ya rufaa…
December 20, 2025, 4:26 pm
Zaidi ya 700 wapata huduma ya afya bure Kabanga
Hospitali ya rufaa Kabanga imehitimisha wiki ya afya katika viwanja vya kiganamo katika Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma kikiwa ni kampeni ya kurudisha kwa jamii na kuwagusa zaidi ya wananchi 700 kwa kutoa huduma bure. Na; Sharifat Shinji Mganga…
December 19, 2025, 1:58 pm
Wiki ya afya Kabanga yawagusa zaidi ya 600 Kasulu
Wananchi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wameshukuru huduma za hospitali ya rufaa Kabanga kwa kutoa huduma za vipimo na matibabu bure ikiwa ni wiki ya afya Kabanga iliyoambatana na kauli mbiu ya “Tuungane kutokomeza magonjwa yasiyoambukizwa” iliyofanyika katika viwanja…
December 13, 2025, 3:25 pm
CRDB kuwanufaisha wakulima Buhigwe
Wakulima wilayani Buhigwe kupitia kwa mbunge wa jimbo la Buhigwe Prof. Pius Yanda wamenufaika na mafunzo ya mikopo kutoka Taasisi ya kifedha ya Bank ya CRDB kwa ajili ya kuendesha shughuli za kilimo kupitia mikopo hiyo. Na; Sharifat Shinji Wakulima…
December 12, 2025, 7:50 pm
Utoaji taarifa za ukatili kikwazo mkoani Kigoma
Baadhi ya wananchi mkoani Kigoma wameeleza ugumu wanaopitia katika swala la kutoa taarifa za maswala ya ukatili wa kijinsia wakihofia usalama wao baada ya kutoa taarifa hizo. Na; Irene Charles Katibu tawala mkoa wa Kigoma Ndg. Hassan Rugwa amesema viongozi…
December 11, 2025, 12:33 pm
Wazazi waombwa kulinda haki za mtoto na vitendo vya ukatili
Mwanasheria kutoka kituo cha Matumani (Centre of Hope), kilichopo wilayani Kasulu Ndug. Decas Patrick Burumba amewaomba wazazi na walezi wa Wilaya ya Kasulu kuzingatia na kufuata sheria za haki za watoto na kuwalinda dhidi ya ukatili katika jamii. Na; Helbeth…