Pangani FM

UWaWa kutatua changamoto ya utoro wilayani Pangani, Tanga.

31 October 2023, 12:55 pm

Mwalimu Paskazia Lucas mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kipumbwi akizungumza na mwandishi wa habari. (picha na Majabu Ally)

Na Cosmas Clement.

Makala haya yanaelezea jinsi hali ya utoro ilivyopungua kwa shule za msingi wilaya ya Pangani kwa kipindi cha kuanzia June 2022 hadi June 2023 kutoka asilimia 15 kufikia asilimia 2.

katika makala haya utasikia jinsi ushirikiano wa wazazi na walimu UWaWa ulivyoleta matokeo ya haraka ya kupunguza kiwango cha utoro katika shule za msingi wilayani Pangani.

Karibu kufuatilia makala haya.

Makala maalumu kuhusu Jinsi UWaWa ulivyosaidia kupunguza utoro shule za msingi wilayani Pangani.