Pangani FM

Unafanya Kilimo?Unategemea Kilimo? Sikiliza hapa.

6 March 2021, 9:26 pm

Upo umuhimu mkubwa wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa  kwa ajili ya shughuli za Kilimo,Uvuvi,Ufugaji na kwa maisha ya kila siku.

Taarifa hizi hutolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini TMA kupitia mbalimbali vya Habari ikiwemo Pangani FM kupitia Kipindi cha Pangani Kunani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 kamili hadi saa 4 Kamili Usiku.

Mwandishi wetu Erick Mallya amefanya mahojiano na Bwana Japhari Chobo ambaye ni Mtaalam kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini TMA na pia amekuwa mwezeshaji katika Warsha iliyoandaliwa na Shirika la CAN TANZANIA na Kufanyika Wilayani Lushoto kuanzia 24-26 Januari 2021.

Mwandishi wa Habari Erick Mallya akifanya Mahojiano na Afisa wa T.M.A Jafari Chobo

Bofya hapa kusikiliza Mahojiano hayo