
Recent posts

24 February 2025, 3:44 pm
Dokta Samia kufanya ziara Wilayani Pangani siku ya jumatano ya februari 26 mwaka…

22 February 2025, 7:57 pm
Pangani washauriwa kuacha shughuli zinazochangia uharibifu wa vyanzo maji
Tunapofanya shughuli ambazo si rafiki kwa mazingira kandokando ya vyanzo vya maji tunaweza kusababisha maji kukauka au vyanzo hivyo kupotea. Na Catherine Sekibaha Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuacha kufanya shughuli zinazochangia uharibifu wa vyanzo maji pembezoni mwa Mito…

21 February 2025, 3:38 pm
Pangani tayari kumpokea Dkt. Samia
mama tunakukaribisha sana Pangani, lakini tunaomba utukamilishie barabara ya Tanga-Pangani -Saadan na Daraja la mto Pangani NA abdillahim Shukran Washuku Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wameelezea shauku yao kufuatia ziara ya Rais wa Tanzania Dokta Samia…

21 February 2025, 10:55 am
Vijana washauriwa kuhudhuria EJITIMAI
nitoe wito kwa vijana kujitokeza kwa wingi kuudhuria mafunzo haya kwasababu mpaka sasa wenzetu kutoka nje ya wilaya ya Pangani wameishafika kwa ajili ya kuudhuria mafunzo haya

20 February 2025, 3:36 pm
Jamii ya kata ya kiman’ga yawezeshwa kupaza sauti changamoto za sekta ya a…
Awali tulikuwa watumishi wawili Dakatari na Nesi lakini kwasasa serikali imeongeza watumishi na tupo wanne angalau changamoto ya kutoa huduma imepungua. Na Maajabu Ally Wananchi wa kata ya Kimang’a Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamelishukuru shirika la UZIKWASA kwa kuwezesha uwajibikaji…

20 February 2025, 1:30 pm
Wananchi waaswa kushiriki zoezi la usafi wa mazingira

20 February 2025, 12:22 pm
Wananchi waaswa kutumia zoezi la uandikishaji wa daftari la mpiga kura kuboresha…
Napenda kutoa wito kwa wakaazi wa Wilaya ya Pangani kutumia fursa hii kuboresha taarifa zenu katika daftari la kudumu la mpiga kura Na Maajab Ally Wilaya ya Pangani inatarajiwa kuanza kuanza zoezi la uboreshaji wa daftarri la mpiga kura kuanzia…

20 February 2025, 11:40 am
Raisi Samia kuweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la mto Pangani
Miongoni mwa mambo anayotarajia kufanya katika ziara yake ni kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la mto Pangani,kukagua ujenzi wa barabara ya Tanga- Pangani -Saadan Bagamoyo na kugawa boti 80 kwa vikundi vya uvuvi Mkoani Tanga Na Maajab…

15 February 2025, 11:21 pm
Programu ya uraghbishi ya TWAWEZA yaleta matumaini kwa wananchi wa Pangani
Miongoni mwa maeneo yaliyofanyiwa kazi zaidi na mradi wa uraghbishi ni Afya, elimu, miundombinu kutokana na wananchi kuibua changamoto zinazowakabili. Na Cosmas Clement Utekelezwaji wa mradi wa URAGHBISHI unaendeshwa na shirika la TWAWEZA kwa kushirikiana na shirika la msaada wa…

15 February 2025, 9:58 pm
Aweso aungana na waumini wa dini ya kiislamu Pangani kwenye maulid
Maulid hiyo imefanyika tarehe 14 february 2025 sawa na mwezi kumi na tano shaban kwa mwaka wa kiislamu ikienda sambamba na kufunga masomo. Na Hamisi Makungu Waumini wa Dini ya Kiislamu na watanzania wote wamehimizwa kujifunza na kuziishi tabia njema…