Pangani FM

Pangani FM yamtembelea Mjane wa Omari S Mahamba.

1 January 2021, 7:04 pm

Uongozi wa Pangani FM umemtembelea mjane wa aliyekuwa mdau wake bwana Omari S. Mahamba ambaye amefariki mwishoni mwa mwaka 2020.

Msafara huo wa umbali wa zaidi ya Kilomita 50 toka wilayani Pangani mpaka wilayani Handeni Mkoani Tanga umefanyika tarehe 31 mwezi Disemba 2020.

Mhariri wa Pangani Bwana Erick Mallya (Kulia),Bi Zainab Said (katikati) na Mtangazaji Mwanahamisi Kassim ‘Mish k’ (Kushoto).

Sikiliza hapa simulizi iliyoandaliwa na mwandishi Rajabu Mustapha.