Pangani FM

Miaka 44 ya CCM yajivunia mambo haya Pangani.

5 February 2021, 7:57 pm

Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga katika kuadhimisha miaka 44 ya chama hicho kimeeleza mafanikio yake katika kuisimamia serikali.

Akizungumza na Pangani FM Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Wilaya BW RAJABU ABRAHAMAN amesema chama hicho kinajivunia katika kuwezesha masuala mbalimbali ikiwemo miundombinu ya Barabara,Vituo vya Afya na kuwezesha katika masuala ya Elimu

Mwanahabari wetu MAAJABU MADIWA amefanya mahojiano na Mwenyekiti wa Chama hicho Wilaya.

Sikiliza hapa Mahojiano hayo