Radio Tadio

siasa

July 7, 2025, 8:53 pm

Vikundi vya wafugaji Muleba vyagawiwa ng’ombe

Vikundi 6 ni vya wanawake ambavyo vimekopeshwa shilingi milioni 159, vikundi vya Vijana 5 vimekopeshwa shilingi milioni 132.5 huku kikundi kimoja cha wanawake ambacho kimekopeshwa jumla ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa zinazotokana na maziwa. Na…

19 June 2025, 9:37 AM

Usiri watajwa chanzo ukatili kwa watoto Masasi

“Familia nyingi zinaamua kukaa  kimya pindi  mwanafamilia  anapomfanyia  ukatili  mtoto aliyeko ndani ya  familia  hiyo, kwa kuhofia  kuwa wakiripoti tukio hilo mwanafamilia huyo atachukuliwa hatua“ Na Neema Nandonde Jamii wilayani  Masasi  mkoani Mtwara  imetakiwa  kuacha  kuficha  matukio ya  ukatili dhidi…

11 March 2025, 4:28 pm

Madereva bajaji wafanya uchaguzi Mpanda

Picha ya madereva bodaboda. Picha na Edda Enock “Waliochaguliwa watimize ahadi walizotuahidi” Na Edda Enock Maafisa usafirishaji bajaji manispaa ya Mpanda mkoani Katavi  wamefanya uchaguzi wa viongozi kwa ngazi mbalimbali. Akitangaza matokea ya uchaguzi huo mwenyekiti wa uchaguzi huo Mrisho…

20 December 2024, 7:30 pm

Wananchi Katavi wasisitizwa kuchagua viongozi bora

“Wapime viongozi kwa vitendo, msiwapime viongozi kwa maneno“ Na Edda Enock -Katavi Wananchi wilayani Nsimbo Mkoani Katavi wametakiwa kuchagua viongozi bora ambao watafanya kazi kwa vitendo na sio kwa maneno ili kutimiza majukumu yao kama viongozi kwa kuzingatia ilani ya…

27 November 2024, 3:48 pm

RC Katavi ahamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura

“Mrindoko amewataka wananchi Kuendelea kujitokeza katika vituo mbalimbali walivojiandikisha ili kuweza kujitokeza ili kutimiza haki yao ya kupiga kura.” Na Betord Chove -Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko Ameshiriki kupiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi…

25 November 2024, 3:03 pm

RC Katavi ahimiza haki katika uchaguzi wa serikali za mitaa

“kila mwananchi aliyejiandikisha ana haki ya Kwenda kuchagua kiongozi anayemuona ataweza kumtumikia kwa miaka mitano.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewahimiza wananchi wa mkoa wa Katavi waliojiandikisha katika daftari la mkazi kujitokeza kupiga…