Pangani FM

Kilimo cha umwagiliaji chawanusuru wanawake dhidi ya ukatili Pangani.

30 May 2022, 6:54 pm

Baadhi ya wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la mauya lililopo katika kijiji cha mseko wilayani pangani mkoani Tanga wameshukuru kwa kuwezeshwa kufanya kilimo hicho kwa faida kwani kwa sasa kimekua kikichangia kuwainua kiuchumi.

Wakizungumza na Pangani FM kwa nyakati tofauti baadhi ya wanawake hao wamedai  kuwa  kujihusisha kwao kaika  kilimo hicho imesaidia kupunguza  hali haarishi zinazowza kupelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili.

Sikiliza hapa taarifa iliyoandaliwa na Mwandishi wetu cosmas clement