Pangani FM

Wasikilizaji wa Pangani FM na Safari ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

4 June 2021, 8:40 pm

Kuelekea kilele cha siku ya mazingira duniani Pangani FM imewafikia baadhi ya wadau ikiwemo wananchi wnaosikiliza kipindi cha Mazingira ‘nitunze nikutunze’ kinachoruka hewani kupitia 107.7 Pangani FM kila siku ya Ijumaa na kurudiwa siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 na nusu jioni na kujadili juu ya mchango wa kipindi hicho katika uhamasishaji wa kutunza mazingira na mbinu mbalimbali za kukabiliana na kuzuia mabadiliko ya tabianchi.