Pangani FM

Halmashauri ya Pangani yazindua kampeni ya upandaji miti.

4 April 2022, 4:59 pm

Halmashuri ya wilaya ya pangani mkoani Tanga imezindua kampeni ya upandaji  miti kiwilaya kwa kuhimiza wananchi kupanda miche ya miti mitano kwa kila kaya na kuhakikisha miche hiyo inatunzwa ilikuleta ustawi himilivu wa mazingira .

Wakizungumza wakati wa kuzindua kampeni hiyo wakuu wa idara kutoka vitengo mbalimbali wamesema kuwa licha ya zoezi hilo kuzinduliwa kiwilaya ni vyema kila mwananchi kujitoa katika suala la upandaji na ukuzaji wa miche ya miti.

sikiliza hapa taarifa iliyoandaliwa na Mtumwa Kombora.