Radio Tadio

HABARI ZA PANGANI

13 September 2021, 9:34 AM

Pangani FM yaibuka kidedea tuzo za EJAT 2020.

Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Radio Pangani FM Rajabu Mustapha Mrope ¬†ameibuka ¬†mshindi wa kwanza Kitaifa wa tuzo za umahiri wa Habari Tanzania (EJAT) mwaka 2020 katika kipengele cha Habari za Data na Takwimu. Makala iliyopelekea ushindi huo ilionyesha…

18 August 2021, 1:30 PM

Ajinyonga kisa wivu wa mapenzi Pangani.

Kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Amury Mwin-dadi mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Mikinguni Wilayani Pangani Mkoani Tanga ajinyonga kutokana na wivu wa kimapenzi. Mrakibu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Pangani…

4 August 2021, 5:37 PM

Waliojitokeza kupokea chanjo ya Corona Pangani.

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga leo imeanza zoezi la utoaji wa Chanjo ya virusi vya Corona kwa makundi yaliyopewa kipaumbele ikiwemo watoa huduma za afya, watu wenye magonjwa sugu na wazee. Viongozi wa Serikali, taasisi, watumishi wa afya…

3 August 2021, 8:59 PM

Uelewa mdogo wa matumizi ya Barakoa Pangani.

Wauzaji wa barakoa Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameeleza namna wanavyowaelimisha wananchi juu ya matumizi sahihi ya barakoa. Wakizungumza na Pangani FM kwa nyakati tofauti wauzaji wao licha ya kueleza umuhimu wa kuvaa barakoa wametaja kile walichokiita ni uelewa mdogo kwa…

20 July 2021, 8:06 PM

Mmoja ashukiwa kufariki kwa Corona Pangani

Hospitali ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imethibitisha kifo cha mtu mmoja kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeripotiwa kuwa katika wimbi la tatu hivi sasa (DELTA). Hayo yamesemwa na Mganga Mfawidhi katika Hospitali ya…

14 July 2021, 11:07 PM

MTAKUWWA kijiji cha Sange yawashika mkono wanafunzi.

Kamati ya MTAKUWWA ya Kijiji cha Sange Wilayani Pangani Mkoani Tanga kwa kushirikiana baadhi ya wadau wa elimu wametoa vyakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi Sange na Makorora kusaidia maendeleo ya elimu. Mwanahabari wetu Rajabu Mustapha amefika…

9 July 2021, 6:31 PM

DC Pangani aahidi kuhughulikia changamoto ya Maji Chumvi.

Mkuu wa wilaya ya Pangani Mkoani Tanga amekiri kuwepo kwa baadhi ya vyanzo vinavyotoa maji chumvi Wilayani humo, na kuahidi namna ya kuyatibu ili kuwasaidia wananchi waweze kupata maji safi na salama. Hayo yamejiri katika kikao kazi kupitia mkutano mkuu…

29 June 2021, 12:28 PM

MIA za Rais Samia Pangani-Wazee

Baadhi ya wazee Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameuzungumzia Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan tangu aingie Madarakani, huku wakieleza kufurahishwa na uongozi wake alio uonyesha kwa Siku 100 tangu aapishwe kuiongoza Nchi hii. Wakizungumza na Pangani fm, wazee hao wamesema…

29 June 2021, 12:26 PM

MIA za Rais Samia Pangani-Umeme

Shirika la Umeme TANESCO Wilayani Pangani Mkoani Tanga layaelezea Mafanikio yake katika kuwahudumia wananchi ndani ya Siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na Pangani FM leo Meneja wa TANESCO Wilayani humo…