Pangani FM

Viongozi wa Redio Jamii wajengewa uwezo Pangani.

17 December 2021, 6:45 pm

Mafunzo ya kujitathimini kwa Wadau, Waandishi wa Habari na Viongozi wa Radio za Kijamii Nchini yafikia tamati hii leo.

Washiriki wa Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Shirika la Uzikwasa kwa Siku tatu mfululizo hapa Wilayani Pangani Mkoani Tanga, wameyataja Mafunzo hayo kama Chachu ya Mabadiliko Chanya kwao hasa katika utendaji wao wa kazi.

UZIKWASA