Pangani FM

Ziara ya Waziri Mkuu Tanga: Sikiliza hapa mipango ya Serikali juu ya Mkonge.

20 January 2021, 7:06 pm

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yuko ziarani Mkoani Tanga,ziara yenye lengo la kuhamasisha uendelezaji wa zao la Mkonge.

ziara hii inakuaja kama sehemu ya ufuatiliaji wa maagizo aliyotoa katika ziara yake mnamo mwezi Juni 2020.

Mwanahabari wetu Maajab Ally yuko katika ziara hiyo ya siku 3 sikiliza hapa Taarifa yake.