Radio Tadio

mazingira

12 August 2026, 16:51

POSTA yaboresha utoaji wa huduma za usafirishaji Kigoma

Wafanyabiashara na wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kutumia fursa ya huduma ya EMS ya Posta Tanzania kusafirisha mizigo na bidhaa kwenda mataifa mbalimbali duniani, ikiwemo Marekani, ili kukuza biashara na kuongeza kipato Na Lucas Hoha Shirika la Posta Tanzania limesema limeanza…

1 July 2026, 16:14

Watumiaji wa mifumo ya majitaka watakiwa kuwa na utu

Kampeni yake ya “Usafi wa Mazingira ni Utu” inayo tekelezwa na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DUWASA jijini Dodoma inaendelea kutoa Elimu kwa Umma na kuwataka watumiaji wa mifumo ya majitaka kuwa wastaarabu. Na Mariam Kasawa. Mamlaka…

27 March 2026, 7:11 pm

Himofilia kutibiwa hospitali ya Rufaa Geita

Tanzania ina wagonjwa wapatao 6700 wa Himofilia ambapo mikakati mbalimbali imeendelea kuchukuliwa na serikali katika kurahisisha matibabu ya ugonjwa huo kwa urahisi. Na: Ester Mabula Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita imezindua rasmi mradi wa mpango jumuishi wa huduma…

16 March 2026, 13:43

DUWASA yaendelea na ukarabati bomba kubwa la maji taka

Meneja wa Kitengo cha Majitaka na Usafi wa Mazingira DUWASA, Mhandisi Ores John, amesema kuwa mamlaka hiyo inashirikiana na wataalamu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhakikisha matengenezo yanafanyika haraka. Na Anwary Shaban Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira…

6 December 2024, 8:22 am

Vyoo, visima na nyumba vyazingirwa na maji Ibolelo, Geita

Ni moja ya eneo lililopo mtaa wa Ibolelo, kata ya Nyankumbu mjini Geita ambalo limeathirika na mvua, Je wananchi wanaishi vipi katika mazingira haya?. Na: Ester Mabula – Geita Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita zimeendelea…

3 December 2024, 11:56

Wakazi wa Bahi road walalamika kero ya maji taka

Hali hiyo inahatarisha usalama wa afya za wananchi katika eneo hilo. Na Waandishi wetu. Wananchi wa Mtaa wa Bahi Road Jijini Dodoma  wamepaza sauti zao juu mitaro inayotiririsha majitaka na chemba katika maeneo yao. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema…