Pangani FM
Pangani FM
8 August 2024, 18:21

Mpaka sasa ni miaka kumi na tatu tangu Pangani FM ilipoanza kurusha matangazo mwaka 2011.
Na Majabu Ally
Waziri wa Maji na Mbunge wa jimbo la Pangani Mh. Jumaa Hamidu Aweso ameipongeza Pangani FM kwa kutimiza miaka kumi na tatu katika utendaji wakazi wake.
Mhe. Aweso ametuma salamu zake akiwa katika ziara ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Morogoro.