Pangani FM
Pangani FM
9 June 2026, 11:20

Kupata mitungi hii ya gesi ya ruzuku imetusaidia kupunguza ukataji wa miti kwa ajili ya kuni, sasa hivi tunaona matumizi ya gesi yanaongezeka tofauti na miaka ya hapo nyuma hii inasaidia kulinda afya za wananchi wetu jumla ya kaya 3644 zinatumia gesi kufuatia ugawaji wa mitungi ya gesi ya ruzuku kwa kaya zenye kipato cha chini.
Kupitia makala utasikiliza kuhusu hatua zilizopigwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Sikiliza hapa mwandishi wetu Majabu Madiwa akisimulia makala hii.