Pangani FM

Uvuvi wa dagaa unavyokuza uchumi wa Tanzania na mahusiano ya biashara na nchi za SADC.

14 April 2026, 12:04

Picha ya dagaa waliondaliwa kwa ajili ya biashara: Picha na mtandao

Na Rajabu Mrope

Shughuli za uvuvi wa dagaa katika pwani ya Bahari ya Hindi kinahusisha wavuvi,wanaobeba,wachemshaji,wachuuzi na wafanyabiashara wakubwa ambao husafirisha bidhaa hiyo hadi mataifa ya nje ikiwemo nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) hivyo ukuaji wa biashara huwanufaisha wananchi na serikali kujiongezea pato kupitia kodi na ushuru.

Rajabu Mrope ametuandalia makala ifuatayo

Sikiliza Makala ya Uvuvi hapa