Pangani FM

Wanafunzi wanapokataa kukariri darasa pale wanapofeli mitihani ya kujipima

19 June 2026, 11:56

Picha ya baadhi ya wanafunzi wakijisome katika mazingira ya shuleni: Picha Kutoka Mtandaoni

Na Rajabu Mrope

Ripoti ya Best Education 2024 iliyotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) inaonyesha kuwapo kwa ongezeko la wanafunzi wa kidato cha pili wanaorudia darasa kati ya mwaka 2019 hadi 2024.

Kwa mujibu wa takwimu, mwaka 2019 wanafunzi 24,426 wa kidato cha pili walirudia masomo ambao waliongezeka hadi kufikia 48,334 mwaka 2023 na 53,615 mwaka 2024.

Sikiliza makala hapa