Radio Tadio

Elimu

5 February 2024, 13:29

watoto wenye uhitaji maalum waomba kutatuliwa changamoto zao

Watoto wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Nengo iliyoko wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo uhitaji wa taulo za kike hasa kwa wasichana hali ambayo wakati mwingine hupelekea kukosa masomo darasani. James Jovin ana maelezo zaidi.

3 February 2024, 7:23 pm

UWT Ludete yawapa tabasamu wanafunzi walioripoti bila sare

Jamii yashauriwa kuendelea kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu ili waweze kutimiza ndoto zao. Na Mrisho Sadick: Wananchi kwa kushirikiana na Jumuiya ya umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Ludete wilayani Geita wamejitokeza kuwasaidia wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu…

3 February 2024, 16:47

Hatimaye shule yanukia Serengeti Kyela

Baada ya kukosekana kwa shule za msingi na sekondari hatimaye wakaazi wa kata ya Serengeti hapa wilayani Kyela wanatarajia kuanza ujenzi wa shule baada ya kupatikana eneo. Na Masoud Maulid Kutokana na kilio cha muda mrefu kwa wananchi wa kata…

1 February 2024, 4:28 pm

Shule zawa chanzo cha mapato halmashauri ya Rungwe

Serikali yandelea kutafuta vyanzo mbalimbali vya mapato ili kuweza kupeleka huduma kwa wananchi. Na mwanahabari wetu Hii ni shule ya Msingi Nuru iliyopo Kata ya Bagamoyo Tukuyu Mjini yenye mchepuo wa kingereza ambayo inatajwa kupanua maarifa na ujuzi kwa wanafunzi…

1 February 2024, 10:11

Nyamori kupata shule ya sekondari kwa mara ya kwanza

Wananchi wa kijiji cha Nyamori kata ya Simbo katika wilaya ya Kigoma¬† wameipongeza serikali kwa juhudi za uboreshaji wa miundombinu ya elimu hasa ujenzi wa shule katika maeneo mbalimbali mkoani Kigoma. Wameeleza hayo wakati wakipokea mifuko 50 ya saruji kwa…

31 January 2024, 9:06 pm

Watoto wenye mahitaji maalum hawatakiwi kufichwa ndani

Shule ya msingi Dodoma Viziwi ni taasisi binafsi iliyoanzishwa mwaka 2005 ikiwa na jumla ya wanafunzi watano ambapo uandikishaji wa wanafunzi katika shule hiyo umezidi kuongezeka na katika mwaka huu 2024 imeandikisha jumla ya wanafunzi 22. Na Fed Cheti.Mkuu wa…

30 January 2024, 22:16

Kyela:Wanafunzi zaidi ya 40 hawajaripoti Ngonga Sekondari

Wakati mhura mpya wa masomo ukianza rasmi hapa nchini Tanzania zaidi ya wanafunzi 40 hawajaripoti katika shule ya sekondari Ngonga kutokana na sababu zisizotambulika na mamlaka husika. Na Nsangatii Mwakipesile Mtendaji wa kata ya Ngonga Lutufyo Mwangamilo ametoa tahadhari ya…

27 January 2024, 8:26 pm

Milioni 147 zatumika ukarabati wa madarasa shule ya msingi Sengerema

Shule ya Msingi Sengerema ni miongoni mwa shule kongwe nchini ambayo ilikuwa ikikabiliwa na uchakavu wa miundombinu hasa vyumba vya madarasa jambo lililopelekea wadau mbalimbali kujitokeza na kuanza kusaidia ukarabati. Na;Emmanuel Twimanye. Shirika lisilisolikuwa la Kiserikali  la  Suport  school  Fees…