Radio Tadio

Elimu

22 January 2024, 12:30

Michango mingi yawaondoa walimu CWT

Baadhi ya waalimu wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameulalamikia uongozi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kuwakata michango mingi hali inayopelekea baadhi ya waaalimu kijiondoa katika chama hicho. Akizungumza katika kikao cha wadau Elimu Mkuu wa shule ya sekondari Ruchugi…

January 19, 2024, 5:56 pm

DC Sweda ampa kongole Rais Samia kwa miradi Makete

na mwandishi wetu kutokana na fedha nyngi kutolewa na serikali viongozi mbali mbali na wananchi wahimizwa kutunza miradi hiyo Mkuu  wa wilaya ya  makete mh Juma Sweda amemshukuru Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mh Samia Suluh Hassani kwa…

19 January 2024, 10:18 am

Chakula shuleni chatajwa kuwa chanzo uelewa wa wanafunzi

Ushirikiano mzuri baina ya wazazi na walimu umetajwa kuwa chachu ya ongezeko la ufaulu kwa wanafunzi wa shule ya msingi. Na Sabina Martin – RUNGWE, Wazazi na walezi wilayani Rungwe wameshauriwa kushirikiana zaidi na walimu ili kuboresha maendeleo ya watoto…

18 January 2024, 20:59

Rungwe DC yakamilisha ujenzi nyumba za watumishi

Na Hobokela Lwinga Halmashauri ya wilaya ya Rungwe imekalisha ujenzi wa nyumba ya watumishi (two in one) katika shule ya sekondari Msasani one kwa gharama ya shilingi million 100. Fedha hii imetolewa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na…

17 January 2024, 09:54

Hatua kali kuchukuliwa watoto kutoripoti shuleni

Mkuu  wa Wilaya  ya Kasulu Kanal Isaac Mwakisu amewataka Wazazi na walezi ambao watoto wao hawajaripoti shule wahakikishe wanakwenda shule kabla ya hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Na Hagai Luyagila Kanali mwakisu amesema mahudhurio ya wanafunzi shuleni bado…

17 January 2024, 8:13 am

Upungufu wa walimu Chididimo wadidimiza elimu ya msingi

Ninini Mchakato wa serikali juu ya changamoto ya upungufu wa walimu katika shule hii. Na Thadei Tesha.Upungufu wa walimu katika shule ya msingi Chididimo iliyopo jijini Dodoma Imetajwa kama moja ya kikwazo kinacho sababisha wananfunzi kushindwa kusoma ipasavyo. Hini shule…