Radio Tadio

Elimu

13 October 2025, 1:05 pm

TAKUKURU Kupambana na rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

Karibu msikilizaji katika makala maalum inayozungumzia udhibiti wa rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ambapo Taaisisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU inaendelea kutoa elimu kwa wananchi  kuepuka rushwa  kabla,wakati na baada ya uchaguzi. Karibu usikilize makala

27 August 2025, 4:45 pm

Wakulima wadai kupunjwa na wanunuzi Nyawilimilwa

Uchumi wa wananchi wa Nyawilimilwa unategemea kilimo hivyo mikakati madhubuti inatakiwa kuwawezesha wananchi. Na Mrisho Sadick: Wakulima wa mazao ya mpunga, mihogo na mahindi katika Kijiji cha Nyawilimilwa wilaya ya Geita Mkoani Geita wamedai kukabiliwa na changamoto za kupunjwa na…

25 August 2025, 16:17

Wananchi Chunga wataka suluhisho la haraka kwa tatizo la taka

Na Zulfa Shaibu Mkanjaluka. Mrundikano wa taka katika Shehia ya Chunga, Zanzibar, umeibuka kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa eneo hilo, wakihusisha hali hiyo na ongezeko la maradhi ya milipuko kama kipindupindu na mazingira machafu kwa ujumla.Katika mahojiano na Zenji…

27 June 2025, 9:50 am

Wazee wamchangia aliyekuwa diwani kuchukua fomu tena

“kikao hicho siyo kampeni badala yake ni kumshukuru kiongozi huyo kwa yale aliyoyafanya” Na Adelinus Banenwa Baraza la wazee wa chama cha mapinduzi kata ya Nyasura Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamemkabidhi fedha kiasi cha shilingi elfu hamsini…

29 May 2025, 12:19

UVCCM Bariadi yarudisha furaha kwa wagonjwa

‘‘Ni kweli bado jamii yetu inakabiliwa na changamoto mbalimbali zipo familia zenye uwezo wa kiuchumi lakini hizi ambazo hazina uwezo wa kimaisha tunawezaje kuzisaidia ili nazo ziweze kupata furaha hili ni jambo tunaweza kulifanya tu endapo watu wenye uwezo mkubwa…

27 May 2025, 11:44

Jinsi nyuki wanavyolinda misitu wilayani Pangani

“Tumeanzisha ufugaji wa nyuki ili kulinda msitu wetu, nyuki ana kipato kuliko kukata mti na kuchana mbao au mkaa.” Na Cosmas Clement Kijiji cha Mtonga kilichopo wilayani Pangani ni miongoni mwa vijiji vilivyoathiriwa na shughuli za ukataji wa misitu kwa…

25 May 2025, 9:50 am

Madereva wa serikali Arusha wanolewa usalama barabarani

Na Nyangusi Ole Sang’ida Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limetoa mafunzo maalumu kwa madereva wanaoendesha magari ya Serikali mkoani humo, ili kuwajengea uwezo wa matumizi sahihi ya barabara na mifumo mipya ya Jeshi hilo. Akizungumza…