Radio Tadio

Elimu

9 January 2024, 17:39

madarasa 38 shule za sekondari yakamilishwa wilayani kakonko

Serikali wilayani Kakonko mkoani Kigoma imekamilisha ujenzi wa vyumba 38 vya madarasa katika shule za sekondari wilayani humo hatua itakayowezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kidato cha kwanza kuanza masomo kwa wakati  Ujenzi huo uliogharimu shilingi milioni 760 umeambatana na utengenezwaji wa…

8 January 2024, 17:31

RC Kigoma aagiza shule zote kutoa chakula kwa wanafunzi

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, amefanya ziara ya Kushitukiza kwa Baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari za Halmashauri za Wilaya ya Kigoma na Manispaa ya Kigoma Ujiji, na…

8 January 2024, 2:22 pm

RC Dendego aagiza wanafunzi wapokelewe bila kikwazo

Na Joyce BugandaMkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego amewaagiza Walimu na Wakuu wa Shule wote Mkoani humo kuwapokea bila vikwazo wanafunzi wote wanaojiunga na kidato cha kwanza na wale wanaoanza elimu ya msingi. Ameyasema hayo leo wakati wa…

5 January 2024, 11:23 pm

Wanafunzi wasiokuwa na sare kuendelea na masomo

Zikiwa zimebaki siku chache shule za msingi na sekondari kufunguliwa hapa nchini mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu atoa wito kwa wakuu wa shule. Na Elizabeth Mafie Wito umetolewa kwa wakuu wa shule za msingi na sekondari katika mkoa…

4 January 2024, 14:07

Shule mpya wilayani Chunya kuwakomboa wanafunzi

Tayari tumekwisha Jenga vyumba 8 vya madarasa, ofisi za walimu mbili, jengo la utawala, maktaba, jengo la kompyuta na maabara tatu ya kemia, fizikia na biolojia Na Samwel Mpogole Shule mpya ya Sekondari ya Kata Kambikatoto wilaya ya Chunya Jimbo…

3 January 2024, 10:14 am

Jamii ya wafugaji yahitaji elimu kumkomboa mtoto wa kike

Mkoa wa Manyara unatajwa kuwa wa pili kwa vitendo vya ukatili nchini hivyo elimu zaidi inahitajika hasa kwa jamii ya wafugaji ili kuwanusuru watoto wa kike waweze kufikia ndoto zao. Na Marino Kawishe Kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wilayani Simanjriro…