Radio Tadio

Elimu

2 January 2024, 17:20

CUCoM sasa ni chuo kikuu

Mwandishi wa Habari Highlands fm Radio Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) imekipa hadhi ya kuwa chuo Kikuu, Chuo cha kanisa Katoliki (Cucom), Kwa sasa kitatambuliwa kama Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUCoM). Awali chuo hicho kilikuwa kishiriki na chuo cha…

29 December 2023, 10:32 am

Wadau wa maendeleo wasaidia ujenzi wa madarasa Rungwe

ikiwa shule zinatarajiwa kufunguliwa wadau wa maendeleo nchini wameomba kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha miundombinu ya shule Mkurungenzi wa Mwaiteleke foundation [kulia]akizungumza baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi[picha na Lennox mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Ili kukamilisha ujenzi wa…

27 December 2023, 5:48 pm

Wazazi watakiwa kuzingatia malezi ya watoto

kwa upande wake afisa elimu mkoa ameahidi kuyafanyia kazi yale yote waliyojadili katika kikao hicho. Na Aisha Alim.Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha watoto wao wanakuwa katika maadili mema kwa kuwaepusha na mambo ambayo hayawezi kuwajenga vyema katika makuzi yao. Hayo…

23 December 2023, 4:35 pm

Wadau wa elimu wazungumzia mgawanyiko wa adhabu shuleni

Ni ufunguzi wa mradi wa kuondoa ukatili dhidi ya watoto walioko shuleni ambao unaratibiwa na  mtandao wa Elimu TEMNET . Na seleman Kodima. Wadau wa Elimu wamesema kuwa ipo haja ya uwepo wa mgawanyiko wa adhabu kulingana na makosa yanayotendwa…

21 December 2023, 08:23

Abiria fichueni wanaoshabikia mwendokasi

Na Moses Mbwambo,Iringa Mkuu wa Usalama barabarani Mkoa wa Iringa (SSP) Mossi Ndozero amewataka abiria kuacha tabia ya kushabikia mwendokasi na badala yake kufichua wote watakaobainika kuendeleza vitendo hivyo. Ndozero Ametoa kauli hiyo huko Nyigo Wilayani Mufindi, mpakani mwa Iringa…

20 December 2023, 2:31 pm

Jiji la Dodoma kutoa milioni 20 katika kituo jumuishi

Kongamano hilo la wadau wa Elimu jumuishi katika Mkoa wa Dodoma limewakutanisha watu mbalimbali wakiwemo maafisa elimu kata ,wazazi ,viongozi wa dini pamoja na wafadhili wa baadhi ya Miradi katika vituo jumuishi vilivyopo jijini hapa huku kauli mbiu katika kongamano…

19 December 2023, 19:58

Elimu kwa mlipa kodi,wananchi wafurahia

Na mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya rungwe  imeanza zoezi la kutoa elimu kwa mlipa kodi lengo likiwa ni kuwajengea uelewa wananchi faida ya kutoa kodi kwa maendeleo ya taifa letu. Katika soko la ndizi mabonde  tukuyu mjini leo, wananchi…

18 December 2023, 9:20 pm

Bodaboda ni kundi lenye uhitaji mkubwa wa damu

Elimu ya usalama barabarani kwa Bodaboda bado inaendelea jijini Dodoma huku ikigusa mambo mbalimbali ikiwemo uchangiaji damu, huduma ya kwanza na jamii na tayari elimu hii imekwisha wafikia bodaboda takribani 180. Na Mariam Kasawa. Vijana wametakiwa kutambua kuwa usalama barabarani…

18 December 2023, 5:36 pm

Jamii mkoani Manyara yapewa elimu ya saikolojia

jamii mkoani Manyara yatakiwa  kutoa taarifa katika  Ofisi za Ustawi wa jamii kutokana na  changamoto wanazo kutana nazo. Na Angela Munuo Jamii mkoani Manyara imetakiwa kutoa taarifa katika vituo vya ustawi wa jamii  kutokana na changamoto mbalimbali wanazopitia ili kupewa elimu ya…