Radio Tadio

Elimu

8 December 2023, 8:43 am

Tyc yaendeleza mafunzo kwa vijana Kilimanjaro

Vijana ambao ni wanufaika wa mradi wa boresha maisha kwa vijana wakiwa katika mafunzo. Vijana zaidi ya ishirini katika mkoa wa Kilimanjaro wamepatiwa mafunzo na shirika lisilo la serekali lijulikanalo kama Tanzania Youth Coalition linalotekeleza mradi wa boresha maisha kwa…

7 December 2023, 8:59 pm

Nguvu iongezwe katika elimu dhidi ya ukatili kwa watoto

Bado tupo katika siku 16 za kupinga ukatili na leo tutaangazia yafuatayo. Na Mariam Matundu. Ikiwa bado maadhimisho ya siku 16 yanaendelea ,imeshauriwa kuwa nguvu kubwa iongozwe katika kutoa elimu ya ukatili kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kutambua na…

6 December 2023, 12:20 pm

Dodoma watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya mvua zinazoendelea

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zinatajwa kusababisha madhara mbalimbali ikiwemo vifo vya watu 63 vilivyotokea katika wilaya ya hanag mkoani manyara usiku wa kuamkia jumapili ya nov. 03 mwaka huu. Na Thadei Tesha. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko…

28 November 2023, 2:55 pm

Maswa: Wazazi waaswa kuwasomesha watoto elimu ya ufundi

Wazazi waaswa kuwasomesha Watoto wao Elimu ya Ufundi ili kukabiliana na obwe la ukosefu wa ajira uliopo Serikalini kwa hivi sasa. Na,Alex Sayi. Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi Mashimba Ndaki amewaasa wazazi/walezi kuwasomesha watoto wao Elimu ya Ufundi ili…

27 November 2023, 3:54 pm

Jeshi la Polisi Zanzibar kutumia vifaa vya kidijitali

Na Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amesema Utendaji wa kusimamia Sheria wa Jeshi la Polisi lazima ubadilike kwa kujikita katika matumizi ya taaluma na vifaa vya kisasa ili kukabiliana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia yanaoendana na mabadiliko…

20 November 2023, 4:10 pm

Michango ya chakula mashuleni kuchochea ufaulu Rungwe

uwepo wa chakula mashuleni kunasaidia kuongeza ufaulu kwa mwanafunzi pia kuna mjengea uwezo wa uwelewa RUNGWE -MBEYA Na Lennox mwamakula Mkuu wa shule ya msingi Mabonde iliyopo wilayani Rungwe mkoani Mbeya  Christine Ndimbo amewaomba wazazi na walezi kujenga utamadudu wa…