Dodoma FM

Makala: Ushirikiano wa wazazi na walimu katika maendeleo ya mtoto shuleni

4 December 2023, 4:57 pm

Bi. Rehema Kawambwa Mratibu wa siku ya ushairi wa watoto duniani akitoa maelekezo ya namba ya kuandika mashairi kwa baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Kiluvya ‘B’. Picha na Michuzi Blog.

Na Mariam Matundu.

Mwandishi wetu Mariam Matundu amezungumza na Kamishna wa Elimu Tanzania, Dk. Lyambwene Mutahabwa na hapa anaelezea umuhimu wa ushiriki wa wazazi na walimu katika Maendeleo ya Mtoto.