Dodoma FM

Umiliki wa mali kwa usawa

11 April 2024, 4:41 pm

mwanamke anahaki ya msingi ya kumiliki mali kama ilivyo kwa upande wa mwanaume katika familia.Picha na UN news.

Usikose kesho kwenye sehemu ya pili ambapo utafahamu ni jitihada gani zinafanyika kuwasaidia wanawake wanaoshindwa kumiliki mali kwa Usawa.

Na Seleman Kodima.
Leo tunaangazia Umiliki wa mali kwa Usawa ambapo Imeelezwa kuwa mwanamke anahaki ya msingi ya kumiliki mali kama ilivyo kwa upande wa mwanaume katika familia kwa mjibu wa sheria.

Mwenzetu Selemani Kodima amefanya mahojiano na Mwansheria kutoka kituo cha Sheria na haki za Binadamu Dodoma kufahamu suala hilo.

Hii ni sehemu ya kwanza ya Mahojiano kati ya Mwanasheria kutoka kituo cha Sheria na haki za Binadamu Dodoma na Mwandishi wetu Selemani Kodima .